Kaka inaelekea una safari nyingi sana PM.
🤣🤣 hapana sio viben ten ..Kwani mvi kitu gani bwana...Nadhani unahitaji kabeten wewe.
Sasa mzee na ndevu zake zenye mvi utamuapugiredi???
Halafu siku si nyingi ntaleta uzi humu kuhusu Mbagala tuwazibe midomo.Hata sijui...laiti tungekuwa tunasikiliza mitongozo vijana wawili ndiyo huitaja mbagala tu.
Ukijiunga tu unapokea pm za ajabu ajabu.Maana nini?
Mvi hazifananii kufanyiwa unavyotaka.[emoji1787][emoji1787] hapana sio viben ten ..Kwani mvi kitu gani bwana...
Uwiiiiii 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Dah...Sasa kwa lugha yetu adhimu hilo jina linatamkwaje? [emoji23][emoji23][emoji23]Akitaka totoz ajiite sexy boy
Tehteh...
Sasa si atapata totoz nyie dadaz atawakosa?
Huyu dr shipman aliyeua wazee mania UK ndio role model wako unamuweka hapa. Nenda google search Dr Alan shipman uone alichofanya!Hivi invisible ndo wanakuunga uko PM.