feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,776
Hata mimi sipendi wanaume wa hivo,mara mnapiga stori utasikia subiri nitoke nikaoshe gari langu,maana limechafuka na hizi mvua za dar....mara niko white sand,au jangwani sea breez napunga upepo kidogo eiiich umeulizwa??? Nakereka ko mnajionaga hakina labda afu mkichunwaa mnalalamika jf nzima!!!
Ndo zao swaga nyingi kumbe kapa[emoji28]