Kumbe kuna kina dada wa tofauti.

Kumbe kuna kina dada wa tofauti.

Kuna wadada wanajielewa weweeee.

My kind of women.

Bravo to all such women. Wanaojielewa.

Zile type za can I buy you a drink? Anakujibu, I got this. Let me buy you one.

Sio wale wa kuhangaika na hela za wanaume na kuishia kutumika vibaya.
 
Dah..nasikia aina mpya chakula...isiyopimwa kwa PH- scale...inapimwa kwa Peri-ometer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
Hahaha.
 
Dah...nipo JF toka 1984...nimetuma PMs zaidi ya 3000...sijajibiwa hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
Sijui unakosea wapi... unafikiri wanapenda jina??
 
Kuna wadada wanajielewa weweeee.

My kind of women.

Bravo to all such women. Wanaojielewa.

Zile type za can I buy you a drink? Anakujibu, I got this. Let me buy you one.

Sio wale wa kuhangaika na hela za wanaume na kuishia kutumika vibaya.
Tatizo linakuja tulishabadilishwa na soko.

Tukikutana na nyie tunajua mnaigiza kumbe mnamaanisha.
 
Acha nipate darasa kutoka kwa wakali wa PM. Siku yakinifika nijue pa kuanzia!


[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

- KANA -
 
Acha nipate darasa kutoka kwa wakali wa PM. Siku yakinifika nijue pa kuanzia!


[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

- KANA -
Naskia skia eti wewe unafuatwa? Hizi habari za kweli
 
Hivi huko PM huwa mnafanikiwa kung’oa pisi za maana au ndio miyeyusho? Tupeni mirejesho Na sisi tujimwaye mwaye, msiogope compe.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom