Kumbe kuna kina dada wa tofauti.

Kumbe kuna kina dada wa tofauti.

Haha hapana...ila taarifa ninazo. Jirani yangu huyo.
Bas sawa, ila usinivunje moyo, si nawaomba tu invisible waniunganishe nae PM, au uko PM kuna mambo mengine ya kuchumbiana
 
Tumezoea wanawake ukitaka kuwapata unawaonyesha ulichonacho. Nitatoa mfano.

PM.
Ukishaingia utaanza kutafuta namna ya kusuka meseji ajue unakula Nando's na unamiliki usafiri na hauishi Mbagala.

Kumbe wengine tunawaboo bhana. Hawataki mikato ya hivyo. Wanachojali zaidi ni tabia ya mtu ya ndani. Kilichofanya niandike nikuwauliza hawa wanaopenda je mnapenda kusukiwa meseji za hivyo kutoka moyoni au imewabidi mpende?

Na sisi wanaume tumeamua kubadilika na soko kweli? Labda ndiyo maana hawa kina dada wanalalamika hawapati wanaume[hao kina dada niliowataja juu].
You must be very busy in women's PM
 
Fanya kunielewesha basi maana nimerudia zaidi ya mara tatu lakini sijaelewa chochote Daby
 
Kuna kipindi Daby na stunter nilikuwa naamini mnasumbuka kwenye PM zenu!!..
Kumbe kama wick tu 😀😂
 
Bas sawa, ila usinivunje moyo, si nawaomba tu invisible waniunganishe nae PM, au uko PM kuna mambo mengine ya kuchumbiana
Teh haya mzee baba kila la kheri.
 
Daby siku hizi samaki wanavuliwa bila chambo hata ndoano tupu unachopoa mzee baba
tatizo mapori ya akiba yapo mengi sana wawekezaji wachache humu.
 
Back
Top Bottom