Kumbe kuna kina dada wa tofauti.

Kumbe kuna kina dada wa tofauti.

Eat with pleasure, drink with measure

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Mie tangu niujue mtongozo sijawahi kusema nina hiki nina kile nafanya kazi pale etc. Sipendi mrembo anipende kwa sababu nina hiki au nina kile. Siku nikiwa sinavyo tena penzi litaota magugu. Ninachoweza kusema ni wapi nafanya kazi tena mpaka niulizwe.

Ila kuna mrembo mmoja date ya kwanza kwenda dinner kisha club kujirusha. Baada ya kumfahamisha kwamba nitampitia kwao saa mbili usiku siku ya Jumamosi akaniuliza una gari? Nikamjibu tutapanda dala dala. Akabadilika nadhani alihisi sikulipenda swali lake. Nikamwambia nikisema saa mbili namaanisha saa mbili on the dot sipendi kugandishwa na dala dala usiku huwa chache
😜😜😜

Tumezoea wanawake ukitaka kuwapata unawaonyesha ulichonacho. Nitatoa mfano.

PM.
Ukishaingia utaanza kutafuta namna ya kusuka meseji ajue unakula Nando's na unamiliki usafiri na hauishi Mbagala.

Kumbe wengine tunawaboo bhana. Hawataki mikato ya hivyo. Wanachojali zaidi ni tabia ya mtu ya ndani. Kilichofanya niandike nikuwauliza hawa wanaopenda je mnapenda kusukiwa meseji za hivyo kutoka moyoni au imewabidi mpende?

Na sisi wanaume tumeamua kubadilika na soko kweli? Labda ndiyo maana hawa kina dada wanalalamika hawapati wanaume[hao kina dada niliowataja juu].
 
Mie tangu niujue mtongozo sijawahi kusema nina hiki nina kile nafanya kazi pale etc. Sipendi mrembo anipende kwa sababu nina hiki au nina kile. Siku nikiwa sinavyo tena penzi litaota magugu. Ninachoweza kusema ni wapi nafanya kazi tena mpaka niulizwe.
Ila kuna mrembo mmoja date ya kwanza kwenda dinner kisha club kujirusha. Baada ya kumfahamisha kwamba nitampitia kwao saa mbili usiku siku ya Jumamosi akaniuliza una gari? Nikamjibu tutapanda dala dala. Akabadilika nadhani alihisi sikulipenda swali lake. Nikamwambia nikisema saa mbili namaanisha saa mbili on the dot sipendi kugandishwa na dala dala usiku huwa chache
😜😜😜

ehee ikawaje?

safar iliendelea au ndo mwisho ukawa ivo
 
Hata mimi sipendi wanaume wa hivo,mara mnapiga stori utasikia subiri nitoke nikaoshe gari langu,maana limechafuka na hizi mvua za dar....mara niko white sand,au jangwani sea breez napunga upepo kidogo eiiich umeulizwa??? Nakereka ko mnajionaga hakina labda afu mkichunwaa mnalalamika jf nzima!!!
 
Back
Top Bottom