Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,072
We ni mshenga nini,Mbona ashachumbiwa huyo Mtoto wa Baba omba uungwe kwingine.
We ni mshenga nini,Mbona ashachumbiwa huyo Mtoto wa Baba omba uungwe kwingine.
🤣🤣Sasa si una roho mbayaDah...nipo JF toka 1984...nimetuma PMs zaidi ya 3000...sijajibiwa hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
But,when it comes to your conscience, do you really feel like doing that down-under?Bravo!Kuna wadada wanajielewa weweeee.
My kind of women.
Bravo to all such women. Wanaojielewa.
Zile type za can I buy you a drink? Anakujibu, I got this. Let me buy you one.
Sio wale wa kuhangaika na hela za wanaume na kuishia kutumika vibaya.
Hahaha Mzee Baba your usual magic haijafanya kazi nini... jiongeze MkuuTumezoea wanawake ukitaka kuwapata unawaonyesha ulichonacho. Nitatoa mfano.
PM.
Ukishaingia utaanza kutafuta namna ya kusuka meseji ajue unakula Nando's na unamiliki usafiri na hauishi Mbagala.
Kumbe wengine tunawaboo bhana. Hawataki mikato ya hivyo. Wanachojali zaidi ni tabia ya mtu ya ndani. Kilichofanya niandike nikuwauliza hawa wanaopenda je mnapenda kusukiwa meseji za hivyo kutoka moyoni au imewabidi mpende?
Na sisi wanaume tumeamua kubadilika na soko kweli? Labda ndiyo maana hawa kina dada wanalalamika hawapati wanaume[hao kina dada niliowataja juu].
We nikikutumia PM itakuwa ya kuomba helaHapana wachache tunaohitaji.
Dah...naisubiri kwa hamu kubwa...nitachukua na video nitakapokuwa naisoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah...tena? Hata wewe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ufanye kwa wote basi.