Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Tumezoea wanawake ukitaka kuwapata unawaonyesha ulichonacho. Nitatoa mfano.
PM.
Ukishaingia utaanza kutafuta namna ya kusuka meseji ajue unakula Nando's na unamiliki usafiri na hauishi Mbagala.
Kumbe wengine tunawaboo bhana. Hawataki mikato ya hivyo. Wanachojali zaidi ni tabia ya mtu ya ndani. Kilichofanya niandike nikuwauliza hawa wanaopenda je mnapenda kusukiwa meseji za hivyo kutoka moyoni au imewabidi mpende?
Na sisi wanaume tumeamua kubadilika na soko kweli? Labda ndiyo maana hawa kina dada wanalalamika hawapati wanaume[hao kina dada niliowataja juu].