Kumbe kuna jeneza Self na hamsemi!

Kumbe kuna jeneza Self na hamsemi!

Nacheka kama mazuri [emoji23][emoji23],, ila ndo inavyokuaga utakuta mtu wanayemtegemea awalipie ada ndugu,, mboleo vijijini na vitu kama hivyo ndo amekufa gafla. Lazima walie sana
Huo ndiyo kwel
 
Acha tabia yakua unasikiliza mazungumzo ya watu wengine wanapoongea kwenye simu,

Mind your own business.
🤣🤣🤣 umenikumbusha kuna siku nipo kwenye daladala, jamaa kasimama kwenye siti niliyokuwa nimekaa. Mwamba katoa macho mazima kajisahau. Ghafla nikafungua camera ya mbele, 😆😆😆 alitoa sura fasta
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha kuna siku nipo kwenye daladala, jamaa kasimama kwenye siti niliyokuwa nimekaa. Mwamba katoa macho mazima kajisahau. Ghafla nikafungua camera ya mbele, [emoji38][emoji38][emoji38] alitoa sura fasta
Aliyeelewa hapa anisaidie.
 
Wanyakyusa huishi maisha hayo ya kulia misibani tangu utoto ko atalia kwa weredi kwa muda na kiwango unacho hitaji.
Mkuu tuombe samahani, mimi ni mnyakyusa lakini suala la kulia kwangu ni gumu mno
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha kuna siku nipo kwenye daladala, jamaa kasimama kwenye siti niliyokuwa nimekaa. Mwamba katoa macho mazima kajisahau. Ghafla nikafungua camera ya mbele, [emoji38][emoji38][emoji38] alitoa sura fasta
ha ha ha ha ha balaa
 
Back
Top Bottom