Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,578
- 66,244
Unashanga ilo ushangai watu sikuiz wanazikwa na mchanga kidogo sana ukiwa na pesa ukikosa pesa watakuzika na vifusi viwili kabisa ili usije toroka kabulin
Wanyakyusa huishi maisha hayo ya kulia misibani tangu utoto ko atalia kwa weredi kwa muda na kiwango unacho hitaji.Unajua sipati picha, ina maana yeye hisia zake zikoje hadi alie kama msiba unamuhusu
Huo mtindo ulianzia nchini Misri.ha ha ha nchi ngumu hii mpaka watu wa kulia wanakodishwa
Labda sheria za Uganda ni tofauti na za Tz. Jaribu hapa Tz uone unavyodakwa fasta!?Aliyekuwa mume wake Zari mzazi mwenzake Diamond alizikwa pesa za kutosha
Kwahiyo wahusika wanakua hawana uchungu na msiba sio😃🤣🤣wapo ni kweli kabisa
Wanaweza kuwa na uchungu ila kulia ikawa ngumu, hlf fanya uchunguzi misiba ya masikini ndiyo watu wanalia sana, ila watu walio na maisha yao ambao kuondoka kwa marehemu hakutoathiri maisha yao sana huwa hawalii kivile.Kwahiyo wahusika wanakua hawana uchungu na msiba sio![]()
Binadamu asilimia kubwa tunapenda sifa na kusifiwa pia.Kama kuna siku itatokea nikaachana na Ugalatia ni kwa sababu kuu zifuatazo:
1. Zile raha ambazo Sheikh Kipozeo huwa anazifafanua kuwa zipo zinasubiri kule akhera.
2. Simplicity ya mambo likiwemo la mazishi. Unakata moto leo unazikwa leo hii hii bila mbwembwe wala nini...ni Sanda na mkeka tu kwisha. Safi sana hii!
3. Ishu ya ndoa...rahisiiiii!
Misiba ya Kigalatia siku hizi imegeuka ni sehemu ya show off na kama wewe ni masikini watu wala hawaji au utazikwa haraka haraka na kwa dharau. Watu wanalipa pesa mpaka kwa viongozi wa serikali ili waweze kuhudhuria ili eti kuupa uzito msiba. Utafikiri haya yanasaidia lo lote kwa marehemu. Kumbe hata ungezikwa na dunia nzima kama alivyozikwa Mandela au Papa Paulo wa Pili ni kazi bure!
Balaa akianza kutuma salamu atataja ukoo mzima hadi ambao hakuwaona... anaanza na majirani... hawa watu ni hatari nanusu misibaniNa nasikia hawa ndiyo kabila linaongoza kwa kulia, na analia huku akitoa story ya marehemu mwanzo mwisho
Nacheka kama mazuri 😂😂,, ila ndo inavyokuaga utakuta mtu wanayemtegemea awalipie ada ndugu,, mboleo vijijini na vitu kama hivyo ndo amekufa gafla. Lazima walie sanaWanaweza kuwa na uchungu ila kulia ikawa ngumu, hlf fanya uchunguzi misiba ya masikini ndiyo watu wanalia sana, ila watu walio na maisha yao ambao kuondoka kwa marehemu hakutoathiri maisha yao sana huwa hawalii kivile.
Kama yule jamaa wa chuga waliomchimbia kaburi la futi 11 kwa sababu kajinyonga, halafu wanasema ili siku ya kufufuliwa awe wa mwishoUnashanga ilo ushangai watu sikuiz wanazikwa na mchanga kidogo sana ukiwa na pesa ukikosa pesa watakuzika na vifusi viwili kabisa ili usije toroka kabulin
Ahahahhaha yaani ase hapana tutafute pesaKama yule jamaa wa chuga waliomchimbia kaburi la futi 11 kwa sababu kajinyonga, halafu wanasema ili siku ya kufufuliwa awe wa mwisho