Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Hahaha...........ila ni mateso sana Mkuu, yaani Mwanaume mzima nashinda nalamba limao ofisini kweli

Asubuhi kwenye gari lazima nibebe na kikopo cha kutema mate.

Kwa kweli siipendi hiyo hali basi tu
Ingekua ipo hivyo kwa wanaume wote basi kwa hakika wanaume wangewaheshimu sana wake zao na hata hao singo mamaz.
 
Physics hyo magnetic forces
 
Namshukuru Mungu nina mume. Sipati picha kuyapitia haya ninayoyaona bila baba wa mtoto pembeni jamani.

Wanaume msiwe mnakataa mimba. Hiki kipindi ni kigumu sana halafu mtu aongeze na stress za kukataliwa kweli?
Shida ni kwamba ,, Mimba nyingine unashikishwa na unajua fika hapa tunapiga wengi🤨
 
Ingekua ipo hivyo kwa wanaume wote basi kwa hakika wanaume wangewaheshimu sana wake zao na hata hao singo mamaz.
Ni kweli usemacho Mkuu, kupitia hiyo hali nimejifunza kuwaheshimu sana Wanawake.

Hapa natamani Wife naye apate Mimba itakayomfanya ateseke kama Mimi. Maana zile mimba za mwanzo zote ni kama nilimsaidia tu.

Ila useme watoto ndiyo wote wamekuja kwangu, labda kwake wamefata rangi tu 🤗
 
Jamani nimesikia hadi raha, ubarikiwe. I cant wait kusikia mtoto anacheza tumboni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…