Kumbe Kidoti naye kala za uso?

Kumbe Kidoti naye kala za uso?

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,065
Reaction score
3,842
Za chini chini inasemekana bibie nae alikuwa na tabia za umiodo wa tanga yule yule mmbea akapeleka na umbea wa jojo bwama kwa mama ndio maana jojo juzi hapa alitolewa kule juu kijani now yupo mtaani tu wambea wanasema

Hata kwenye page yake ya insta tokea 29 hadi leo kajikausha wambea wanasema katolewa

Hii ni taarabu isiyokuwa na kichwa wala miguu, habari isiyokuwa na msingi unaileta kwa mafumbo ya kitoto.
 
10246652.gif
 
Nashangaa sana jinsi Nchi inawapa uongozi watu wasio na ustahili wala sifa za uongozi zaidi ya kuwa maarufu. Bila shaka ni kutumia umaarufu huo kukusanya support ya mashabiki zao. Absolutely maddening!
 
Haya yatatusaidia Nini sisi, tunawaza ukombozi wa taifa letu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom