The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
Alikuwa anamsafishia m2 njia tu hakuna lolote!
Ibange, za jioni.
Nimemsikia Kibonde kwenye kipindi cha Jahazi mimi nilimsikia akiongea pumba. Kamsifia sana Makatta kwamba alisoma na mama yake! PPF zote eti ni kazi yake.
Ili ATC ifufuke katoa pendekezo ipeleke mchanganuo wa biashara TIB ili wapewe mkopo wa kununua ndege - hapo ndo niligundua ni aina gani ya akili aliyonayo Kibonde.
Kwa pamoja mle studio nilisikia wakihoji kama Mramba aliweza kulazimisha ndege ya rais inunuliwe hata kama wananchi watakula majani itakuwaje serilkali isiidhamini ATC kupata mkopo kununua ndege?
Anauma na kupuliza!
Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje mtu binafsi anaendesha precision kwa ufanisi mkubwa atc wanashindwa? kwanini shirika kubwa kama bima linakufa wakati lilikuwa na ukiritimba. rushwa jamani magamba mmeua nchi tumechoka
Anauma na kupuliza!
Hayo mambo ya fulani kasoma na mama yangu sio ya kuzungumzia hadharani. kwani huwezi jua pengine huyo unayemzungumzia alikua buzi la maza.
Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje mtu binafsi anaendesha precision kwa ufanisi mkubwa atc wanashindwa? kwanini shirika kubwa kama bima linakufa wakati lilikuwa na ukiritimba. rushwa jamani magamba mmeua nchi tumechoka
Kibonde anazengea u-DC baada ya kukosa ubunge wa viti maalumu ndiyo maana huwa siku zote anamsifia JK. Anakera sana huyu mbwiga.