Kumbe kesi za serikali nje zinakuwaga hivi

Hizi video za arbitration ukitazama hutolaumiwa ukiikatia tamaa nchi yetu. Bachelor degree ya 2016 na professional practice isiyozidi miaka 7 anamhoji aliyekuwa mkurugenzi wa sheria wa wizara, Bachelor na Masters degree holder na experience ya miaka 10 zaidi ya mwenzake, mbingu na nchi. Mkurugenzi kakaribishwa na sifa za usomi wake kama vile walijua kitakachofuata.
 
Back
Top Bottom