kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
Leo nimekwenda hospital mwenyewe bila kushurutishwa, nikamuona bwana mganga akanisaili vaya kutosha,kisha akaniuliza... unataka kupima nini bwana kabanga ? Nikamwambia sukari, mkojo, malaria na na na.... zikawa zakutosha kipimo kikubwa.
Kazi nilikuwa kusubiria matokeo...
Mwisho wa siku safi.....
Jamani tukapime...!
Kazi nilikuwa kusubiria matokeo...
Mwisho wa siku safi.....
Jamani tukapime...!
Last edited by a moderator: