Mtoto wa Jadu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 451
- 1,090
Hakika sikuwa na raha kwa kipindi chote hicho JF ilipokuwa banned!!
Jana kwa bahati mbaya? Nikabonyeza app ya JF, haaa!! Nikashangaa threads za kutosha!!
Katika ku peruzi peruzi nikagundua thread ya tangu Octoba mosi... Kumbe kipindi chote hicho nipo gizani wakati JF iko hewani!
Kongole sana kwa uongozi kuamua kuirudisha hii, na pole sana kwa yote mliyopitia!!
Binafsi nimefarijika sana!!