South hawakurusha makombora ya kutungua kombora la North. Walichofanya, na wao walirusha makombora mawili ya balistiki (ballistic missiles) ya masafa marefu kama ambavyo jana yake walivyorusha cruise missiles zao mpya toka kwenye ndege.Mkuu hizi chenga!. Japan hana nuclea siraha hata moja!.
Hata siraha zake za kutengeneza zina mwisho wa uwezo wake. Hana kibali cha kutengeneza siraha za nuclea!
Juz hapa walijaribu siraha za kutungulia makombora ya north ila leo wameshindwa kutungua tena!.
Kwa sasa sio South korea au Japan wanaweza kushindana na North kwa siraha!.
Baada ya dakika 6 toka North amerusha Kombora, south wakajibu kwa kurusha makombora mawili kwenye bahari kwa umbali ule ule ambapo north amerusha kombora lake. Lakini hawakuweza kulitungua ilo dude la north
Mbona ndo kaoa???? Kumbe mh huo ukoo utamaliza watu sasa. nilifikiri ndo wanaishia.Hapana Mkuu, Kim anamtoto, kumbuka hivi karibuni ntoto wake alipewa cheo cha kuteni akiwa na almost 8 years
Nakubaliana na ww!!!,ila kombora moja lilifeli,South hawakurusha makombora ya kutungua kombora la North. Walichofanya, na wao walirusha makombora mawili ya balistiki (ballistic missiles) ya masafa marefu kama ambavyo jana yake walivyorusha cruise missiles zao mpya toka kwenye ndege.
Pia hilo kombora lilikua detected na Marekani lakini hawakutaka kulitungua
![]()
Mkuu lilifeli kivipi wakati hawakutaka kulitungua?!Nakubaliana na ww!!!,ila kombora moja lilifeli,
Walishindwa mkuu.sio kwamba hawakutaka..
Wanaogopa wakishindwa yale ma dude yao waliyoyauza huko arabuni,japan na south korea....
Mechanisim ya kutungua yale madude ni sawa kupiga risasi kwa risasi nyingine!. Kama umeshawai kuangalia wanted ya Angelie Julie Utaelewa.
Ivyo anaogopa kutungua afu akakosea maana itakuwa ni balaa.
Unadhani Marekani na kelele zake na mbwembwe zake angeshindwa kutungua izo Missle kama angekuwa na uwezo??.
It is all about geopolitics. Huwezi kutaja NK bila China na Russia, vilevile huwezi kutaja USA bila Japan na South Korea. USA ina military bases Japan (Okinawa Island) na South Korea. Ndo Kusema NK ikiipiga Japan, inaipiga USA. By the way, nimekujibu bila kuelewa kama unamaanisha 'atakuwa' (have/has) au 'hatakuwa' (have no/has no).Hahaha Umaskini haupambiki. Ww unadhan japan atakuw na siraha za kumpga N.K? Huyo chizi ni chiz gan asiyezuiliwa mpk Leo? Pia lazm utie shaka nguvu ya Huyo chizi. Hata hvyo ushasema chizi Y akuzd maarfa
Mkuu izo ni ghalama za mfumo mzima au kombola la kutungulia icbm???Mkuu lilifeli kivipi wakati hawakutaka kulitungua?!
Hivi unajua kwamba hizo interceptor ni ghali sana,mfano interceptor ya THAAD ni dola milioni 3,Patriot ni dola milion 1.5-2,S400 ya Urusi ni dola milion 2.Sasa ulitaka watu watungue kitu kilicho tupu hakina madhara yoyote kinapita tu njia?!
Hizo ni gharama za kutungulia kombora, halafu mkuu Leo NK hajarusha icbm, karusha irbm(la masafa ya kati).Mkuu izo ni ghalama za mfumo mzima au kombola la kutungulia icbm???
Halafu mnakosea saana kusema icbm zikiwa hazina warhead sio siraha!!.au hazina madhara
Kombola ni kombola hata kama halijawekewa hizo nyuklia bado linaweza kuleta madhara!.
Ivyo unadhani ingeanguka kwenye majengo isingeleta madhara???.
Umeongea point sana mkuuKama wewe una akili timamu lakini humuogopi chizi aliyeshika panga kiasi cha kuamua kupita karibu yake kisa tu na wewe una panga, werevu lazima tutilie shaka umakini wako. Haiwezekani uwe mtoni unaoga, aje mwendawazimu abebe nguo na kukimbia nazo, halafu na wewe utoke kwenye maji uanze kumkimbiza kisa una mbio sana.
NK ina bargaining chip ambayo ni nuclear weapons. Hakuna nchi itaigusa NK. Hata USA wakitaka kuipiga NK watahitaji timing kali kama ya kumchinja kobe. Nuke haifai, imagine miaka 30 baada ya ajali ya nuke ya Chernobyl, mpaka sasa eneo hili halikaliki.
Mkuu yangekuwa hayana madhara wasingelalamika japan,marekani asingepiga kelele!. Kumbuka alivyojaribu icbm ya kwanza july aliwekewa vikwazo. Kwa iyo huwezi kusema mpk ziwe na nuclea ndo zina madhara.Hizo ni gharama za kutungulia kombora, halafu mkuu Leo NK hajarusha icbm, karusha irbm(la masafa ya kati).
Halafu duniani ni nchi tatu tu Israel,Russia na Marekani ndo zina mifumo ya kutungulia icbm na gharama yake so mchezo, mfano huo mfumo wa Marekani (GBMD) kombora moja linacost had dola milioni 10($10M).
Mkuu hayo makombora anayorusha NK hayana silaha yoyote anayarusha yakiwa matupu kuangalia uwezo wake ndo maana hawangaiki kuyatungua maana ni upotevu wa fedha.
Kwahyo ww ni mjapan?Japan ina uwezo wa kuisambaratisha N korea kwa dakika ila haiwezi sababu baada ya vita ya pili ilisign pact ya kutokupigana na haikuruhusiwa kuwa na jeshi soma masharti ya UN baada ya vita ya pili ya dunia. N. Korea hawajali nani ataishi wala nani atakufa hivyo wapo tayari kutumia nuklia bomb ambayo itaangamiza siyo tu japan hata viumbe around where it will reach. Kwanini marekani inasita kuishambulia n korea ni hilo tu. Pakistani na India wamezozana sana lakini hawawezi tumia ile kitu wataua waliomo na wasiokuwemo.
Vita ya nuklia ni mbaya na yule dogo kichaa anaweza amua kuitumia bila kujali kitu.Hana mtoto ana mke tu hivyo he can finish the dynasty basi.
Pole yako. Hivi unafikiri mimi mtu mzima nitaandika bila research? Elimu elimu elimu na kutembea mtu unakaa hapo ulipo hujafika hata UK, US, German na nchi zinazotengeneza hivi vitu halafu unaongea. At least ungekuwa unaenda library kusoma ili uone dunia inaendaje.Kwahyo ww ni mjapan?
Akili za wabongo zmeoza kabisa
Mkuu sijasema hayana madhara, nilichosema ni kwamba hayo makombora anayojarbu NK hayana silaha zozote ndani yake. Kim anachofanya ni kuyajaribu tu kuangalia ufanisi wake kama ambavyo mwezi uliopita Marekani walivyojaribu icbm zao na hivi juzi Urusi kujaribu icbm zao za kurushwa toka kwenye nyambizi.Mkuu yangekuwa hayana madhara wasingelalamika japan,marekani asingepiga kelele!. Kumbuka alivyojaribu icbm ya kwanza july aliwekewa vikwazo. Kwa iyo huwezi kusema mpk ziwe na nuclea ndo zina madhara.
Na iyo system ya marekan ya kutungulia makombora bado haijawa kamili..
Katika majaribio 10 imefanikiwa kutungua 6.
Islael haijawai kushambuliwa na icbm,just rocket za hisbollah na Syria.
Sasa kama nuke haifai na ni hatari, kwanini kila kukicha wanarutubsha na kutengeneza silaha.....wanatengeneza za nn sasa ka c kwa ku2mia....watandikane bhn 2one madhara yake sio kila siku kusimuliwa 2....nataka niione hiyo vita ya nuke b4 sijapata 10 shots.Kama wewe una akili timamu lakini humuogopi chizi aliyeshika panga kiasi cha kuamua kupita karibu yake kisa tu na wewe una panga, werevu lazima tutilie shaka umakini wako. Haiwezekani uwe mtoni unaoga, aje mwendawazimu abebe nguo na kukimbia nazo, halafu na wewe utoke kwenye maji uanze kumkimbiza kisa una mbio sana.
NK ina bargaining chip ambayo ni nuclear weapons. Hakuna nchi itaigusa NK. Hata USA wakitaka kuipiga NK watahitaji timing kali kama ya kumchinja kobe. Nuke haifai, imagine miaka 30 baada ya ajali ya nuke ya Chernobyl, mpaka sasa eneo hili halikaliki.