Hawa Mongolians wanaakili sana awatak kuharibu nchi zao kwa faida ya mzungu kama yaliyo na yanayo tokea kwa nchi za kiarabu. Mi nafikir kunaufitin mkubwa sana wa chini kwa chini ambao ni ngum kuugundua, sitak kuamin kama Japan atafurah nchi yake iwe kwenye shida kwa faida ya us. Kwanza mjiulize chanzo cha huu mgogoro ni nin na kwa nin, kisha angalia Japan yeye anafaidika vp hata aingie kwenye matatizo ili us aweze timiza mapenz yake.
Mim mtazamo wangu ambao najua nitakuwa tofaut na wengi maana mawazo hayawez fanana, hawa mongolians (china, japan and koreans) wanataka kumtoa us hasa ktk kuweka majesh yake huko kwa japan na SK.
Wananchi wa Japan walisha pinga sana uwepo wa kambi za jesh za US kwao na wakiwa wanajua yaliyo tokea na wakiwa wanajua ayatendayo US kwa nchi zingine.
Kama mnakumbuka Trump alipo sema lazima SK na Japan wachangie gharama za kuwalinda raia wa hizo nchi walisema nin.
Leo NK amekuwa kama kibaraka wa wenzake ili US akifunga kambi zake huko itakuwa na furaha kwa mongolian wote