kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
Kwa hiyo Japan haina jeshi kwa Maelezo yakoJapan ina uwezo wa kuisambaratisha N korea kwa dakika ila haiwezi sababu baada ya vita ya pili ilisign pact ya kutokupigana na haikuruhusiwa kuwa na jeshi soma masharti ya UN baada ya vita ya pili ya dunia. N. Korea hawajali nani ataishi wala nani atakufa hivyo wapo tayari kutumia nuklia bomb ambayo itaangamiza siyo tu japan hata viumbe around where it will reach. Kwanini marekani inasita kuishambulia n korea ni hilo tu. Pakistani na India wamezozana sana lakini hawawezi tumia ile kitu wataua waliomo na wasiokuwemo.
Vita ya nuklia ni mbaya na yule dogo kichaa anaweza amua kuitumia bila kujali kitu.Hana mtoto ana mke tu hivyo he can finish the dynasty basi.