Kumbe Japan anamgwaya N. Korea.

Mkuu sijasema hayana madhara, nilichosema ni kwamba hayo makombora anayojarbu NK hayana silaha zozote ndani yake. Kim anachofanya ni kuyajaribu tu kuangalia ufanisi wake kama ambavyo mwezi uliopita Marekani walivyojaribu icbm zao na hivi juzi Urusi kujaribu icbm zao za kurushwa toka kwenye nyambizi.
Halafu icbm sio lazima iwekwe nyuklia tu, inaweza kuwekwa silaha za kikemikali au kibiolojia, nk
System ya Marekani hyo GBMD(ya kutungulia icbm) ipo tayari lakini bado inaendelea na maboresho kama wanavyoboresha system nyingine. Mpaka sasa ufanisi wake ni 55% ukilinganisha na THAAD ambayo ni 100%.
Israel hajawahi shambuliwa na icbm ila wana mfumo wa kuzuia icbm unaitwa Arrow 3.Na mpaka sasa ni nchi tatu tu zenye hyo mifumo ya kutungulia makombora ya icbm ambazo ni
•Israel (Arrow-3)

•Urusi (A-135)

•Marekani (Ground Based Midcourse Defense System)
We jamaa japo ni pro us lakini lkn sometime unaandka vya maana sana. Hongera
 
Japan anajua madhara ya mabomu aina hiyo walichokipata kipindi cha WW11 hawakitamani tena lazima wawe wapole tu
 
Yan nlkuwa najua Japan n kidume kwa N.k lakn kumbe ni maharagwe yalyooza. Yaan pamoja na kuongoza kwa teknolojia duniani lkn kumbe hamna ki2. Yaan Japan n kunguru kw N.K.

Kidume N.K baada y kuskia mjapan kmefurahia baada ya yeye kuwekewa vikwazo vya kiuchumi duniani. kmemchimba "beat" Japan ktamuangamiza kw makombora ya nuclear, et nacho Kilvyo kunguru knasema ktaenda kusema kwa USA ili azuie makombora ya N.K yasitue Japan. Yaan haka kajapan kumbe bure kabsa kanashindwa hat ku2mia ufund wake kumpga mkorea mpk kikaseme kw maandsh ma3? ? Sasa kanasfkaje kw ufund dunian afu kanashindwa ku2mia? ? Huyu nae jpu..
Baada ya kuangushiwa mabomu ya haja kule Hiroshima na Nagasaki Japan iliamua kujikita kwenye vita ya ki_Uchumi. Ilijua kabisa kwenye sekta ya mapigano haitoweza hivyo ili iendelee kua juu basi itafute Field ingine ikomalie huko. na field yenyewe ndio ikawa "technology".

Sema sasa sijaelewa why wasitumie technology hiyo kutengeneza zana kali za kivita
 
Me ndo nashangaa, hasa OK vta hawatak hasa had vfaa vya kuzuia makombora pia hawan mpk waende kw USA? Ndomana nasema japan bad sana kw N.k mana mwenzake vpo
 
Japan
.........ndio mbabe pale Kati ila anakumbuka kilichompata wakati wa vita ya pili ingawa katika sura ya dunia ndio nchi pekee iliyoipa USA kichapo kizuri....pearl harbor
Kuna movie inaitwa Hawcksaw Ridge , America alipigwa ila staring auwawi
 
Kind ukweli Japan amemgwaya NK.
Nasema hivyo kwa sababu wajapan Brio wanaolala kwenye mahandaki kwa kuhofia mashambulizi kutoka NK.
 
It is hard to unchain fools the chains they revere. Kuwa na uwelewa wa jambo fulani alafu ukaongea ni vyema kuliko kutoelewa na kuwa mpayukaji.
 
Mkuu hizi chenga!. Japan hana nuclea siraha hata moja!.
Hata siraha zake za kutengeneza zina mwisho wa uwezo wake. Hana kibali cha kutengeneza siraha za nuclea!
Juz hapa walijaribu siraha za kutungulia makombora ya north ila leo wameshindwa kutungua tena!.
Kwa sasa sio South korea au Japan wanaweza kushindana na North kwa siraha!.
Baada ya dakika 6 toka North amerusha Kombora, south wakajibu kwa kurusha makombora mawili kwenye bahari kwa umbali ule ule ambapo north amerusha kombora lake. Lakini hawakuweza kulitungua ilo dude la north
neo

wewe neo1 kama hujui kitu nyamaza
Japan wanazo Nuclear reactors 54 karibu kila jimbo.
Zinafuwa umeme na zina uwezo wakuwa SILAHA na sio Siraha.Nuclear reactors zina uwezo wa kuzalisha Uranium ambayo ndio kiini cha bomu. Umeisha sikia hizi kampuni
Toshiba,Mitsubishi heavy industries,Itachi Na Tokyo Electric na zingine kibao.Eti wamesaini kutotengeneza Silaha?Wajapan wanatengeneza silaha kimya kimya.
Wa Japani wa kimya lakini sio wajinga
 
Wajapani walizitawala nchi nyingi za Asia ya mbali, uwezo wao wa kitekinolojia uko juu, wangeruhusiwa kutengeneza silaha nzito hawashikiki wale
 
Soma historia, Japan iliitesa sana dunia hadi ije kuangushiwa mabomu na Marekani. Ni kwamba waliamua kuacha ubabe na kujikita kwenye uchumi, lakini leo hii wakiamua kurudia yale ya WW2 basi hapatakalika.
 
Umesema "alikuwa" na pia "wakiamua kurudia yale ya WW2" sentensi zako zinamaanisha "ZILIPENDWA" so for now N.K is the indamitable lion in the world.
 
Yan nlkuwa najua Japan n kidume kwa N.k lakn kumbe ni maharagwe yalyooza. Yaan pamoja na kuongoza kwa teknolojia duniani lkn kumbe hamna ki2. Yaan Japan n kunguru kw N.K.

Kidume N.K baada y kuskia mjapan kmefurahia baada ya yeye kuwekewa vikwazo vya kiuchumi duniani. kmemchimba "beat" Japan ktamuangamiza kw makombora ya nuclear, et nacho Kilvyo kunguru knasema ktaenda kusema kwa USA ili azuie makombora ya N.K yasitue Japan. Yaan haka kajapan kumbe bure kabsa kanashindwa hat ku2mia ufund wake kumpga mkorea mpk kikaseme kw maandsh ma3? ? Sasa kanasfkaje kw ufund dunian afu kanashindwa ku2mia? ? Huyu nae jpu..
Hapa umedhihirisha umbumbu wako wa historia. Kwa kukusaidia japan baada ya vita ya dunia ya pili ulizuiwa kuwa n
Yan nlkuwa najua Japan n kidume kwa N.k lakn kumbe ni maharagwe yalyooza. Yaan pamoja na kuongoza kwa teknolojia duniani lkn kumbe hamna ki2. Yaan Japan n kunguru kw N.K.

Kidume N.K baada y kuskia mjapan kmefurahia baada ya yeye kuwekewa vikwazo vya kiuchumi duniani. kmemchimba "beat" Japan ktamuangamiza kw makombora ya nuclear, et nacho Kilvyo kunguru knasema ktaenda kusema kwa USA ili azuie makombora ya N.K yasitue Japan. Yaan haka kajapan kumbe bure kabsa kanashindwa hat ku2mia ufund wake kumpga mkorea mpk kikaseme kw maandsh ma3? ? Sasa kanasfkaje kw ufund dunian afu kanashindwa ku2mia? ? Huyu nae jpu..
Hapa umedhihirisha umbumbumbu wako wa historia. Kwa kukusaidia japan baada ya vita ya dunia ya pili ulizuiwa kuwa na slaha kali kali ikawekwa chini ya protaction ya usa. Japan kuna nuclear weapons lakini zinaendeshwa na Usa. Its same applied kwa German .

German pia hawana slaha kubwa kubwa kubwa. Ijapokuwa wanateknoloji kubwa
 
Japan hawezi muogopa kiduku japo kiduku akili haiko vizur maana yuko tayari kuteketea yy na kizaz chake ili aache historian. Mtoto anae nadhan Japan Kama wachangiaji wasemavyo wana kizuizi cha Vita pia hekima na busara wanazitumia zaidi. Wana experience ya nuclear bombs.
 
Back
Top Bottom