Nilitaka nikupuuze,lakini imebidi nikujibu kwasababu hujui historia ya japan na watu wake.Kwanza inaoneka na hujui kuwa hata watu wa korea kwa asili ni kizazi cha mjapan! Inaonekana hujui pia kuwa mjapan amewahi kuwa mkoloni wa mataifa karibia yote ya south asia na north asia!Inaonekana hujui mjapan akiamua kupigana anakuwa kama pepo na hakuna wa kumuweza, muulize kitu marekani alifanywa na mjapan mpaka akaamua achukue maamuzi magumu ya kuteketeza hiroshima na nagasaki kwa nyuklia ili tu kumfanya tu mjapan aache vita,maana alikuwa anamfanyia kitu mbaya.Nadhani hujui mjapan akiamua kuwa mkatili anakuwa mkatili kuliko kitu chochote!Refer kitu japan alifanya Singapore vita ya pili ya dunia.
Cheza na wote usicheze na mjapan dunia hii!Fatilia kujua desturi ya kitu kinaita kamikaze na mashujaa wa samurai ndo unaweza pata idea naongelea nini