Kumbe Jamii Forums imeshafunguliwa 🤔

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
5,914
Reaction score
11,841
Wakuu au ni mimi tu ndio nimechelewa kujua

Mbona usiku huu ghafla nashangaa naipata Jamii Forums bila VPN

Wameiachia huru lini aisee. Inawezekana nilikuwa najisumbua siku nyingi kufungua Jamii Forums kwa VPN kila muda
 
Hamna Kitu , inafunguliwa siku Moja , mbili aua masaa machache Kisha inafungwa tena
Kumbe ndio wanafanya hivyo. Dah, wanazingua kwa kweli
Watuache tutumie JF kwa amani. Kama hivi ndio napenda, nakuwa natumia JF bila kuona kialama cha ufunguo kule juu kwenye status bar
 
Sio kweli
Nashindwa jinsi ya kuprove
Hapa nimejaribu ku screen record lakini simu yangu ukiscreen record kule status bar inafutwa haionekani
Nilitaka uone na status bar ili uone sijawasha VPN na JF inakubali
Video hii lakini imefuta status bar, lakini ni kweli kwangu inakubali mkuu. Na hata sipo nje ya nchi. Nipo Mbeya huku
Your browser is not able to display this video.
 
Siku moja moja tu wanaachia ila wameifungia
 
Samia anaiogopa jf kuliko Mungu hawezi kuifungulia hadi atoke mwezi wa 10 Mwaka 26 kama ilivyopangwa

Namhurumia Msigwa
 
Hamna Kitu , inafunguliwa siku Moja , mbili aua masaa machache Kisha inafungwa tena
Nineamka leo asubuhi na kwangu JF bado inafunguka bila VPN
Basi tuseme mi nina bahati maana sijui kwa nini wengine mnasema kwenu hazifunguki
 
Tulikoma aise, was a hard moment sana
Ni kutokujua tu. Kiusalama ni vizuri zaidi ukitumia mtandao muda wote ukiwa na VPN

Unapotumia mtandao bila VPN ni sawa na kuoga uchi barabarani lakini watu wengi sana hawajui hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…