MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,845
- 23,976
Mike ,kwani wewe usharudi Tanzania ? Mwenzio niko mbali sana huku ujerumani na sitaki kabisa kurudi TanzaniaNyie ndio wachawi wa kukazia hukumu mara kwa mara mnakujaga
Mike ,kwani wewe usharudi Tanzania ? Mwenzio niko mbali sana huku ujerumani na sitaki kabisa kurudi TanzaniaNyie ndio wachawi wa kukazia hukumu mara kwa mara mnakujaga
Nimegundua hawa Jf wana domain 2 ya dot-com na dot-ioChrome
Nimekuja kula idd na familia mike mike .Mike ,kwani wewe usharudi Tanzania ? Mwenzio niko mbali sana huku ujerumani na sitaki kabisa kurudi Tanzania
Wazi mkuuNimekuja kula idd na familia mike mike .
Ukichunguza traffic utakuta state house wamejazana humu wanazurula kupoteza hili na lileLeo ni mitandao yote mpka CH, hata site za pilau zimeachiwa!
Hawachelewi kuirudisha kifungoni