Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,852
Reaction score
95,056
Ametamka leo channel 5,kwamba ameipractise kwa mara ya kwanza katika kipindi cha mafuriko dar

Huyu Jamaa si alifukuzwa UDSM au hiyo Degree kaichukulia upendo training center?

Source:EATV-Tinga namba 1 kwa Vijana(No 1 Youth channel)


 
Nachojua mimi Mbatia ni Engineer wa Maji ila hatambuliwi na bodi kwani hajawahi kufanya kazi hiyo!Labda kama ameanza na mafusilo
 
Hakumaliza pandikizi hilo.......ila ukute ana vyeti vyote sawa na waliomaliza sawia!!!ana kazi mbili huyo !!!acheni tu!!Kafulila sio train hilo ni siasa kaka!!tulizana
 
Mtu yoyote akimaliza Engineering lazima asajiliwe hebu muulize Mbatia kama amaesajiliwa?Huyo hatambuliki hapa Tz !
 
Usiku huu kuna jamaa alileta thread hapa kuwa anaongea usiku huu Mlimani Tv !vipi kaongea?
 
Engineer yoyote akimaliza masomo nje ya nch lazima ujeTZ UJISAJIRI KWA KUFANYA ENTERISHIP NA KUSAJILIWA HAPA NA KUPEWA NAMBA!MBATIA
 
Mtu yoyote akimaliza Engineering lazima asajiliwe hebu muulize Mbatia kama amaesajiliwa?Huyo hatambuliki hapa Tz !

hacha akili za kipumbavu, huwezi kuwa registered engineer without practice! Una akili kama za magamba!
 
ametamka leo channel 5,kwamba ameipractise kwa mara ya kwanza katika kipindi cha mafuriko dar

huyu jamaa si alifukuzwa udsm au hiyo degree kaichukulia upendo training center?

Source:eatv-tinga namba 1 kwa vijana(no 1 youth channel)

asee jf is never boring
! Upendo trainig center
 
hebu wale wadau wa chama chake waiweke cv yake hapa,mana naona wadau mnabahatisha tu kama waganga wa kienyeji,ila fahamuni kitu kimoja ambacho kwa msomi na mtu muelewa anatakiwa kukifanya.huwezi kumtuhumu mtu kwa namna yoyote iwayo kama huna ushahidi usio na chembe ya shaka.lets be realistic,tuache majungu,mwenye data za uhakika azishushe hapa ili kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…