The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa
Historia yake ya kufail form four na kununua Cheti?! Kweli alipambana sana.Huyu jamaa namkubali sana historia yake na alivyoingia kwenye system
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1021503afu kwenye hii Picha suruali ilikuwa ikimpwaya
Inawezekana maana huko nyuma hakuwa hivyo.🤔🤔
Success hasn't excuseHistoria yake ya kufail form four na kununua Cheti?! Kweli alipambana sana.
Machache sana wengi tunayajua kuhusu makondaHistoria yake ya kufail form four na kununua Cheti?! Kweli alipambana sana.
Najua watakataa. ayo mengine sisi tunayasikia kwa Gwajima ila amepambana kufika hapo alipo, mafanikio sio vyeti wala vidato ni umefika au umepata nini katika maisha yakoHuyu jamaa namkubali sana historia yake na alivyoingia kwenye system
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi ukimuta Dauda unajikuta sentro na kesi ya uhujumu uchumi. Sijui ilikuwajeDaaaah! BASHITE alikuwa mzee, enzi ukimuita daudi fasta kageuka.
Tena unasomewa makosa 340 ya utakatishaji pesa wakati kwenye akaunti hujawahi kuwa hata na one milionSasa hivi ukimuta Dauda unajikuta sentro na kesi ya uhujumu uchumi. Sijui ilikuwaje
Na kosa la kumuita Naibu Idara majina ya hovyo na ya udhalilishajiTena unasomewa makosa 340 ya utakatishaji pesa wakati kwenye akaunti hujawahi kuwa hata na one milion