ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,350
- 118,697
Wakuu,
Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia?
Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule?
Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa wananchi.
Wale watumiaji wa mwendokasi naamini wanaiona tofauti sasa, hata sisi tunaoenda mjini kati mara moja moja tunaona tofauti kubwa, magari yapo matano yanasubiri abiria, unbelievable!!