Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,679
- 55,324
Hivi kweli ulizipeleka wapi
hahaha nimekosa like button, ila mkuu stories zako ni nzuri
Kwa hiyo nikikurekebisha hautachepuka . Niambie kwanza ni kitu gani kinakufanya uchepuke alafu ndo nijue nitakurekebishaje
Hata hospital doctor anatakiwa ajue ugonjwa ndo aweze Kutoa dawa,
Hamna namna, kapime tu umletee majibu.
Kupima sio tatizo lakini mi ninachokiogopa ni stori ya jamaa m1 aliyeamua kwa hiyari yake mwnyw aende akapime ngoma......baada ya kupima zaidi ya vituo vi5 kwa siku na majibu yakatoka hajaathirika......ucku akafa.....!! sababu ikiwa ni furaha iliyopitiliza hadi kujikuta shinikizo la damu likapanda na moyo ukapasuka......mi tangu niumbwe kwa kweli nimeshapima mara moja tu mwaka 2005 hadi leo hii

Kapime huku ukiwa unayawaza matatizo makubwa yanayokukabili kama vile madeni ada za watoto ambazo hujalipia, migogoro ya kifamilia na hata incident za kufumaniwa zilizokuaibisha siku za nyuma. Ukifanya hivyo, hata matokeo yakionyesha kuwa mwili.wako una kinga ya kuua vijidudu vya ukimwi, furaha yako itakuwa nusu kwa nusu.
Ni story ndefu sana ambayo nilishawahi kuitoa na hapa ( wakati ule natumia avatar ya Galadudu tu) ili watu wasiwe wananilaumu juu ya hilo ina maana wewe haujawahi kuiona?
No sijawai kuiona labda Nilikuwa sijajiunga jf.
Hahahahaaaa Super Gala D kawa General....haya bwana
General GaladuduAmakweli ww n galadudu
Mambo ya kupanda vyeo hayo mama
Hahahahaaa popoma bwana?
GENTAMYCINE...haya jijibu mwenyewe basi.Mh....... Hayo sio matusi ya kimtandao kweli.......POPOMA ndo kitu gani hicho