General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,236
Ndugu zangu wana jamvi wenzangu,
Msinishangae kwa ongezeko hilo la jina langu mkajua labda ni mwingine NO ni yule yule Super Galadudu hapo ni baada ya kupanda cheo hadi kuufikia u- jenerali.
Tuje kwenye mada yenyewe, kipindi cha harakati za kampeni niliwaambia kuwa mimi nilikuwa ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya ushindi ya mheshimiwa m1 ambae kwny serikali iliyopita alipata kuwa naibu waziri wa wizara moja nyeti sana siku moja wife alikuja huko jimboni kunitembelea akiwa ameambata na mke wa mgombea na ujio wenyewe ulikuwa wa kunishtukiza, katika pekua pekua zake za hapa na pale akakuta condom moja kwenye begi langu kesi ikawa ni zile mbili zimeenda wapi?
Baada ya yeye kuondoka tuliendelea na mawasiliano vizuri tu huku nyakati za usiku nikimpigia simu tunachombezana kwa maneno safi tu ya kimahaba kama mke na mume wasiokuwa na tofauti yeyote.
Mi nikajua kuwa kesi imekwisha kumbe nilikuwa najidanganya sana, nadhani aliamua kuwa mpole ili asinitoe kwenye mudi ya kazi.Nimerudi juzi usiku jana nikaanza kusomewa upya mashtaka yangu huku zikifufuliwa na kesi za siku za nyuma.
1- Bado alitaka kujua kuwa ile condom ilifikaje kwny begi langu, na kwanini ilibaki moja zile nyingine mbili zilienda wapi.
2- Aliamua kuinyamazia kesi ya yeye kupigana na ule mchepuko wangu kwenye kitchen party, baada ya ule mchepuko kuwa unaomba nyimbo za taarabu za kumpiga yeye vijembe, lakini alikuwa anaitafutia tu muda rasmi wa kuanza usikilizwaji wake
3- Akakumbushia lile suala lililokuwa chungu sana kwangu kulipokea aliposema " hapa alitaja jina langu hicho ni kipimo cha juu kabisa kuonesha amekasirika sana, nakwambia hilo dude lako haliingii humu hadi pale utakaporudi na cheti cha majibu ya ukimwi kuonesha kuwa haujaathirika, akimaanisha eti gegedeo langu halitakutana na papuchi yake (hapo nadhani kesi nyingine aliamua kuzipotezea kwa makusudi, au na zenyewe zina wakati wake au labda hazijui kabisa)
Akatoa hitimisho hili:-
1- Natoa siku tatu tu uwe umemleta hapa yule mala*a wako niliyemkung'uta kwenye kitchen party aje aniombe msamaha.
2- Nataka majibu juu ya ulikozipeleka zile condom mbili.
3- Nataka hadi kufikia jumatano ya tar 11/11/2015 niwe nimeyapata hapa majibu yako ya ukimwi kutoka ktk vituo zaidi ya vitatu yakionesha kuwa hauna maambukizi ya VVU na ukishindwa kutimiza hayo basi mi nitaushangaza ulimwengu kwa maamuzi magumu nitakayofanya.
Akaishia hapo hebu niambie wenzangu nifanye lipi hapo kujinusuru.
Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwa sasa