little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
Scrip writing ni ku - narrate hisia, matendo na movements na mazungumzo ya watu waliovaa uhusika katika movieHiyo script writer ndo nini
Scrip writing ni ku - narrate hisia, matendo na movements na mazungumzo ya watu waliovaa uhusika katika movieHiyo script writer ndo nini
Hakimu ni yeye
Scrip writing ni ku - narrate hisia, matendo na movements na mazungumzo ya watu waliovaa uhusika katika movie
hiyo kesi itakuwa fair kweli???!!!
Cc BADILI TABIA..Hiyo script writer ndo nini
Bado ni kizunguzungu hata mi nashindwa kuelewa kabisa
Mkuu utungaji wa stories zako za maisha ni dhahil unapaswa kuwa hivyo, yani nikiunganisha stories zako kuwa katika story moja ni tamthilia kali sanaUnaonekana kuwa una uelewa mkubwa sana juu ya hiyo kazi, sasa kwann usiifanye wewe na badala yake unataka niifanye mimi
Kwanza naomba nikupongeze sana kwa kukumbuka condom Kuna wanaume wengine wanachepuka bila hata condom.
Pili muombe mkeo msamaha na umwambie ukweli kuwa ulitumia na mchepuko . Yaelekea ww ni mchepukaji sana yan had mkeo anapigana na mchepuko . Akikusamehe usirudie tena . Nataman ingekuwa ni mm nisingepigana na mchepuko ningeanza na wewe hapo ndani ningekuvunja kabisa hiyo dudu yko ili ukome kuchepuka .
Mkuu utungaji wa stories zako za maisha ni dhahil unapaswa kuwa hivyo, yani nikiunganisha stories zako kuwa katika story moja ni tamthilia kali sana
Sasa ungeivunja ningekugegeda namna, lakini pia kama unatamani hii nafac ili unirekebishe bado haujachelewa.......we utakuwa ni kama naibu waziri mkuu baada ya waziri mkuu mwnyw ambae ndo wife..... karibu sana
Kuna jamaa humu alimdanganya wake kuwa walikuwa wanazitumia kwenye research kufundishia. Jamaa alisema aliwini, ebu jaribu.
Hahaaaaa nisingeivunja kabisa ningeitengua tu . Alafu ukipona urudie tena. Nafasi siitaki kwa sbb sina nguvu ya kupigana na mchepuko.
Baada ya kupanda cheo na kuwa Gen. Galadudu, umeacha kuvuta sigara?
Sasa michepuko utapigana nayo vp wakati we utakuwa umekuja kunirekebisha
hahaha nimekosa like button, ila mkuu stories zako ni nzuriKama wewe ni mtaalamu wa kuunganisha story kwann usiziunganishe sasa, nimeshakuruhusu kuzitengenezea hiyo tamthilia