Kumbe huyu ustaadh ndio kawabeba Yanga ngao ya jamii

Swali
Huo uganga ni kazi yake au sio kazi yake

Tumia mifano ya picha
Wewe nawe ficha ujinga wako. Kuna watu wengi sana ambao kazi zao nu uganga wa kienyeji lakini wapo kwenye ushabiki wa usimba na uyanga hilo halipingiki. Usimba na uyanga unebeba wachungaji, mapadri, mashekhe, waganga wa kienyeji, wabunge, n.k kila aina ya watu wapo kwenye mapenzi ya hizi timu mbili. Unataka kusema wanaofanya kazi za uganga wote Tanzania ni mashabiki wa Yanga tu?
 
Labda ata mechi ya simba uyo ustaadh aliingia kwenye vyumba vyenu,,,maana mlipuyanga pia🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom