Kumbe huyu ndio Pangolin.

Ndo unanipoteza kabisa, ok tuanzie hapo kakakuona ndio yupi?

ni mnyama anapatkana kwenye hifadhi za taifa. Kama umewahi kusikia kuwa kuna mnyama anayetabir mambo ndio huyo....... Yeye hutokea mara chache sana ktk makaz ya watu na akitoke watu wanamuwekea vitu mbali mbali kama maji, nafaka, kisu na vingne vingi. Basi akigusa kimojawapo kwamfano akinywa maji watu huamin mvua zitakuwa nyingi, au akigusa kitu wanaamin vita itatokea
 



Umetisha xana
 
Nishamjua vizuri sana

mm naamin ulikuwa unamjua ila hang over za viroba na valuu + bange ulikuwa hujamtambua vizr macho hayakuona au ww unasemaje....... Teh teh teh!
 
mm naamin ulikuwa unamjua ila hang over za viroba na valuu + bange ulikuwa hujamtambua vizr macho hayakuona au ww unasemaje....... Teh teh teh!

Teh teh teh
 
hapana huyo sio pangolin
huyo ni kaka-kuona.twih twih
 
Itabidi tuwalinde zaidi ya tembo kwani wachina wanatumia kwa kutibu cancer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…