kumbe huyu jamaa ana "dunk" hivi

GreenCity unafahamu maana ya 'dunk' katika mchezo wa mpira wa kikapu?

Mbona katika hiyo picha jaluo hadunk?!? Hapo ana shoot tu kawaida, kama alipata, basi alijipatia points 2.
 
Last edited by a moderator:
ulitaka weka picha hii??

984253_10151728787736929_1229365647_n.jpg
 
hehe hes playing with secret service, hao machalii wanacheza hapo bt mifukoni wana vyamoto humo
 
Transpoter tupunguzie bana, lasivyo mie najitoa, sema hata pembeni kwenye vibegi vya nguo ama magari basi. nazuia shilingi.
 
Transpoter tupunguzie bana, lasivyo mie najitoa, sema hata pembeni kwenye vibegi vya nguo ama magari basi. nazuia shilingi.

heheh sawa mkuu nimekuelewa nafuta kauli yangu nachukua ya kwako usije kuandamana bure, lol!
 
GreenCity unafahamu maana ya 'dunk' katika mchezo wa mpira wa kikapu?

Mbona katika hiyo picha jaluo hadunk?!? Hapo ana shoot tu kawaida, kama alipata, basi alijipatia points 2.

ahahaaa! asante kwa elimu mkuu Nzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom