Kumbe huwa inaanzaga kama hivi....!

Kumbe huwa inaanzaga kama hivi....!

Hivi kwa mfano unamuazimisha mtu gari yako, halafu anapoirudisha unakuta ina alama ya mguu hapa juu kwenye roof utawaza nini? Nitaendelea baadae kwanini nimeuliza hivi...........

si bora hiyo mimi niliwahi kukuta condomu iliyotumika na paket nyingine ambazo hazijatumika ziko chini wee kidogo inivunjie ndoa
 
Hii makitu kwenye Noah na zote zifananiazo, viti nyuma ya dereva ni vitanda tosha. Nasikia zenji wanazo sana hizi kwasababu ya mahotel kudao vyeti vya ndoa.
 
Hii makitu kwenye Noah na zote zifananiazo, viti nyuma ya dereva ni vitanda tosha. Nasikia zenji wanazo sana hizi kwasababu ya mahotel kudai vyeti vya ndoa.
 
Pole sana sana Mpwa wangu naelewa situatiobn uliopitia maana unajikuta na wewe unashangaa na kila ukijaribu kuvuta kumbu kumbu hupati kitu chochote
si bora hiyo mimi niliwahi kukuta condomu iliyotumika na paket nyingine ambazo hazijatumika ziko chini wee kidogo inivunjie ndoa
 
wakikufania police pale, utakoma!

nilishawi kukutwa na defender pona yangu mvua ilikuwa kubwa, gari yangu ni tinted walipiga full light ubavuni hawakuona kitu wakaja kwa mbele hola walishindwa kushuka mvua ilikuwa kubwa sana matokeo yake wakasepa nikaendeleza gemu
 
wakikufania police pale, utakoma!

Kaka mkubwa watu wafanyao hivyo huwa magari yao yapo na vioo vyenye kiza na hulock milango...normally utakuta wamefungulia mziki mkubwaaa!
 
Back
Top Bottom