Hahhahaaa kwanini ukalipie chumba chenye AC kwa maelfu ya shilingi? washa AC funga vioo kula raha.......wapi Little Angel mtaalamu aje hapa apate uzoefu ili next time asiumie mbavu tena....
Hii makitu huwa yatukia sana pale kijiwe cha mihogo Coco Beach...
hapo gari liwe Evoque.....Fortuner.....au Q7......weee.....
hapo gari liwe Evoque.....Fortuner.....au Q7......weee.....
Teh teh...
Wengine huwa wanajiachia hata kwenye Vitz na kadhalika....
Vitz halafu unakuta mmoja wao anabody kama lemutuz...its uncomfortable. ..really