Kumbe hiki cheo amekifanyia kazi?

lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
12,652
26,443
Wakuu, nimekuta post ya prince mstaafu akimpongeza msemaji mpya wa chama huku akiwa amendika maneno tata kama mnayoona hapo pichani
Kumbe ilikuwa ahadi

60709103c5d87ef56e53650e49746a96.jpg
 
Kweli siasa ni mchezo wa kitoto, mbona hicho cheo huwa ni cha vijana? Leo msemaji wa Chama kuwa babu,

Pengine wewe ndie Mtoto! Kabla ya Nape aliepewa kazi hiyo kwa lengo la kuzuia Makubaliano haramu ya" Boys II Men" ya kurithishana madaraka na akafanikiwa cheo hicho kimekuwa kikishikiliwa na Mzee John Chiligati, Kapten George Mkuchika na Hayati Ukiwaona Ramadhani Mwinshehe Ditopile Mzuzuri!
 
Nakumbuka alipokosa ubunge akaamuru kampuni y tanzanite one kufkuza wote aliowaingiza pale karib watu 300 maana hawakumpa ht kura 1 watu hawana fadhila kbs
 
Kweli siasa ni mchezo wa kitoto, mbona hicho cheo huwa ni cha vijana? Leo msemaji wa Chama kuwa babu,
Aliyekuwepo kabla ya Nape Unamfahamu au unaongelea ujana gani, kabla ya Nape alikuwepo mzee Kepteni flani.
 
Back
Top Bottom