Kumbe hiki cheo amekifanyia kazi?

Kumbe hiki cheo amekifanyia kazi?

Kitendo cha CCM kuwajaza ujinga watanzania kwamba siasa ni Blah blah ndiyo matokeo yake tunayoyaona kwenye kujenga hoja humu JF. Hongera Ole Sendeka kujikomba kwako kumelipa!!
Mbona wewe kila siku kujikomba kwa lowasa pale mikocheni
 
waropokaji wa CCM kila siku huwa vilaza,.....nawaonea huruma sana na huyu kijana wetu mpya chadema,....
mwenye mailmu yake.......ccm wajipange
 
Ninahitaji kujua kiwango cha Elimu cha Ole Sendeka
Matokeo yake ya form six haya hapa
1458538725392.jpg
 
Elimu ya Sendeka wala usiangaike ni hapa na pale kama ya akina Kubenea na Mbowe
 
hivi wanaccm wakishaingia kwenye siasa huwa hawawezi kufanya kitu kingine cha kuwasaidia kujikimu ? huyu ni mmasai wa ajabu sana ! hata ng'ombe hana !
Mkuu sio ng'ombe tu ni mmasai aliekataa kukaa masaini, akija Arusha amejenga nyumba maeneo ya sombetini amabko hakai hata wiki anakimbilia Dar ambako sidhani hata kama ana mbuzi.
 
Sendeka aliwadanganya wananchi wa mererani kuwa atairusiha Tanzanite one kwa waazawa kumbe alikuwa amepewa dili na Rizione la kuhakikisha anapewa yeye hiyo kampuni, na kweli akapewa wana mererani walishajua sendeka ni mzigo na ameamua kuwa kibaraka, wakampiga teke na hapa amepata alicho ahidiwa kuwa hata kuwa mbali na chama daima.
 
Matokeo ya Mbowe form six ndio ya Sendeka!
Ukiwa EMPTY utabaki kuwa EMPTY, unaulizwa kwanini unaenda kuchambia majani na wakati kuna maji ya kuchambia. Wewe unajibu eti ndo nilizoezwa hivyo na wazazi wangu wakati nakua.. Ona unachojibu sasa!! Huoni aibu!?
1458548059493.jpg
 
Mkuchika na Ditopile hawajawahi kukamata cheo hicho bali waliwahi kuwa naibu katibu mkuu bara kwa nyakati tofauti
Asante kwa KUUNYOSHA UKWELI....nami nilihisi hivyo, ila sikuwa na UHAKIKA. Bila taarifa za KWELI, ukweli siwezi andika ama kusema chochote....
 
Kweli siasa ni mchezo wa kitoto, mbona hicho cheo huwa ni cha vijana? Leo msemaji wa Chama kuwa babu,
Ndio kufaana kwenyewe mkuu. Zimepigwa hesabu ikaonekana kumwingia Magufuli ampe walau ukuu wa mkoa itakuwa ngumu basi ikabidi mkwere amgawie salio...
 
Kweli siasa ni mchezo wa kitoto, mbona hicho cheo huwa ni cha vijana? Leo msemaji wa Chama kuwa babu,
As long as sauti yake inatoka na kusikika basi anafaa hakuna sheria wala kanuni katika chama inayosema mwenezi lazima awe kijana nadhani unawakumbuka chiligati mkuchika na seif khatib
 
Back
Top Bottom