Kumbe hii style ilianza siku nyingi.

Kumbe hii style ilianza siku nyingi.

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
kulala.jpg

Kumbe wassira alikuwa ana iga.
 
Inafikori kusikiliza hotuba inayoboa kama ya JK utaacha kusinzia kweli!!
Labda uwe una akili kama za Nape
 
  • Thanks
Reactions: tz1
hata mjeshi kasahau una uniform huruhusiwi kulala.
 
Inafikori kusikiliza hotuba inayoboa kama ya JK utaacha kusinzia kweli!!
Labda uwe una akili kama za Nape

Mkuu jk kweli anahotuba ndefu halafu pumba tuu hakuna la maana hata mimi ningelala,
Ndo maana movement za watu huwa haziishi!
 
hahahaaa woote kwisha kaazi isipokuwa Shamusi vuai nahoza...
 
Dah yaani takriban wote wanapiga mbizi tu!
 
Hawa wazee wanakesha na majukumu binafsi kila siku wako busy hawana muda kupumzika wakipata sehemu kama hiyo ya utulivu na kusubiri kwa muda saa 2 lazima wauchape
 
hii itakua ilitokea zanzibar maana nakumbuka ni picha ya kitambo kidogo
 
Back
Top Bottom