Mkuu,daladala inategemea mana matajiri wengi au karibia wote hununua used from abroad
Zipo za mil 45 Hadi 70 kutegemea na gari,mfano hinno,nissan,coaster nk pia ubora wa gari,idadi ya seats na mwaka,zile eicher (za mbagala na gongolambotoš) na Tata zinafika mpaka mil 90 +
waone hawa jamaa kimomwemotors kwenye social networks zao ni dealers wa daladala wanaweza kukupa msaada zaidi
View attachment 2222721