Kumbe hii ndio bei ya Rolls Royce

duh! Kuna watu Wana hela ile mbaya maana hapo ni kama 1.4B kwa hela za kitanzania bado hapo kodi ya TRA kwa namna hii ninaweza kuamini Diamond anaweza kununua ndege kama alivyosema kuwa mwaka Huu ataleta private jet yake

Kwa statement ya Mond TRA walikula 700 millions, na kuna uwezekano pia ikawa hivyo. Meneja wake kasema wamechukua ndege yenye thamani kama ya 13 Billion za kitanzania, acha aishi ndoto zake
 
Kama ni hivyo ndoto zangu zimeshakufa teyari niwaachie wenye huo uwezo je vip kuhusu daladala moja ni kiasi gani?
Mkuu,daladala inategemea mana matajiri wengi au karibia wote hununua used from abroad

Zipo za mil 45 Hadi 70 kutegemea na gari,mfano hinno,nissan,coaster nk pia ubora wa gari,idadi ya seats na mwaka,zile eicher (za mbagala na gongolamboto😀) na Tata zinafika mpaka mil 90 +

waone hawa jamaa kimomwemotors kwenye social networks zao ni dealers wa daladala wanaweza kukupa msaada zaidi

IMG_20220513_121250.jpg
 
View attachment 2222721
Asante mkuu
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom