Kumbe hawara haachiki!!

Wanajisemea wa Kenya "acheni mpango wa kando" We unajiona mjanja nyumba ndogo 2 tamu eh? Nina uhakika hujikingi kwa unavyoyungumza na kujihalalishia uzinzi.. Nyumba ndogo zote zina wakaka wengine wanazikamua wewe ukiwa kwa mkeo na hao vijana wana vibajaji vingine. Na si kazi wifi keshagundua naye anamegwa pembeni taratiibu na anaenjoy kuliko makapi unayomleteaga wewe ukiwa umeshatumika, na huyo anaemmega naye ana wake mwingine coz anajua huyo mkeo ana mwenyewe! MTANDAO huo ngoma tutanusurika kweli? Labda tungekuwa tunaandikwa usoni HIV +VE.. Lol mtandao huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom