Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Mfumo wa mahakama uliopo sasa hivi ni wa kikiristo, kwa zaidi ya asilimia 90. Na huu uliachwa na wakolon waingereza ambao walikuwa wakiristo. Kwa maana hiyo basi sheria za nchi ni za kikiristo

Kwani Waingereza ni wakristo?
 
Makanisa yana utaratibu wake wa kushughulikia mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya waumini wao. Kuna mabaraza ya usuluishi na mahakama za kanisa ngazi kwa ngazi.

Kuna mafundisho ya watoto ngazi mbalimbali n.k. Yote haya yanaendeshwa kwa utaratibu waliojipangia wenyewe na kwa fedha za kanisa lenyewe. Sio fedha za serikali.
Waislamu wanalo la kujifunza kwa utaratibu huu!
 
Wakuu,
Kumbe hata Wakristo wana Mahakama zao, Serikali ifike mahali itungie Sheria Mahakama za Kanisa ili zitambuliwe kisheria na kama ikiwezekana Kikatiba! Naomba kutoa hoja!

10653647_884656378222843_2855008467810999438_n.jpg
Hawana lolote hao! Bendera kufuata upepo.
 
Ndo waislamu mlitaka mahakama za kadhi wakati uwezo wa kuzihudumia hamna sisi wakristu tuna uwezo .
 
Migogoro ya ndoa za kikristo huwa inashughulikiwa kikanisa ngazi kwa ngazi...

Hadi inapofika ngazi ya mahakama za kiserikali ni kwamba kanisa limwshindwa kutatua katika taratibu zake...
Ni navyojua mimi hata hukumu za mahakama za kiserikali zisizoendana na mafundisho ya kanisa hawazitambui. Kwa mfano hukumu inapotengua ndoa iliyofungwa kanisani haitambuliwi kwa sababu kanisa haziruhusu kutenganisha isipokuwa kwa sababu maalumu zilizoainishwa katika sheria za kanisa na ruhusa hii inatakiwa kutolewa na baba mtakatifu.
 
Mkuu,

Pana lolote nami ati nichangie ama ...!?

Niwie radhi maana majukumu yalinikinza, daah!

Ndo sasa naona wito wako hapa.

Ahsanta na tuendelee kuwafuatiza waerevu wetu ikiwa sisi hatuna ilimu nalo.

.... nipo kipembeni hapa.
 
Last edited by a moderator:
Makanisa yana utaratibu wake wa kushughulikia mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya waumini wao. Kuna mabaraza ya usuluishi na mahakama za kanisa ngazi kwa ngazi.

Kuna mafundisho ya watoto ngazi mbalimbali n.k. Yote haya yanaendeshwa kwa utaratibu waliojipangia wenyewe na kwa fedha za kanisa lenyewe. Sio fedha za serikali.

Hili suala mbona liko wazi na Dr Slaa ndiye daktari wa sheria za dini ya kikiristo, Kichwani mwake ni sheria tele za kikiristo angekuwa uraiani sasa hivi angekuwa anaitwa Jaji, hata hivyo anastahili kuitwa Jaji Dr Slaa.
 
Ndio zipo ila zinajiendesha sio kama za wale wanaopenda msaada na kulialia wanazozitaka..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mfumo wa mahakama uliopo sasa hivi ni wa kikiristo, kwa zaidi ya asilimia 90. Na huu uliachwa na wakolon waingereza ambao walikuwa wakiristo. Kwa maana hiyo basi sheria za nchi ni za kikiristo

Kama ndivyo, kwanini Wakristo wana mahakama zao nje ya huo mfumo?
 
Nimependa sana kufahamu HABARI hii. Mbona wakristo hawadai mahakama yao iwekwe kwenye katiba na itambulike kisheria?
 
Yesu alisema ya Mungu mpe Mungu na Kaizari mpe Kaizari, hivyo kama wakristo wana mahakama basi wameiga mambo ya dunia

Kwa hiyo hata mashule na mahospitali wasiwe nayo, magari, nyumba nk....wabaki wakisali tu...wanasalia wapi, wanasafiri vipi kwenda kuhubiri, wanasuluhisha vipi migogoro yao

Kwani mahakama zilizopo kwa kifupi tu ni vikao vya usuluhishi wa mambo kwa kufuata taratibu za Kanisa, sasa shida ipo wapi hapa? uelewa wa mambo tu.
 
Sio suala jipya kusikia mahakama za Kanisa hasa Kanisa Katoliki. Kila jimbo au kanda ya Kanisa ina mahakama yake na majaji pia.

Kesi zinazohusu masuala ya kiimani au kiutaratibu wa Kanisa husikilizwa na kutolewa uamuzi. Wakati mwingine kesi ngumu hupelekwa Roma kwa maamuzi ya juu zaidi kwani mahakama ya Roman, The Roman Tribunal ndiyo yenye uwezo wa mwisho wa kutatua mambo fulanifulani.

Lakini mahakama hizi haziingilii kazi za mahakama za kidunia na wala haziendeshwi kwa fedha za serikali kama wanavyotaka waislamu

Soma hapa:Ecclesiastical court - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Kadhi kadhia yake ni kutaka mteremko wa kugharimiwa na serikali.
 
kodi yangu mimi haiwezi kuhudumia uislam wakati mimi naamini uislam sio dini halali kwangu. waanze wao kula kitimoto ndio mimi nigarimie dini yao. haram ni haram tu.
 
Ww unakodi gani unayotowa zaidi ya kukaba wanawake uwachukulie mapochi yao..
 
Kama ndivyo, kwanini Wakristo wana mahakama zao nje ya huo mfumo?

Wana mahakama zao za kikanisa ambazo hukumu zake zinaendana na hukumu za sheria za kikolon tulizoridhi kwa wakiristo waingereza.
 
Sio suala jipya kusikia mahakama za Kanisa hasa Kanisa Katoliki. Kila jimbo au kanda ya Kanisa ina mahakama yake na majaji pia.

Kesi zinazohusu masuala ya kiimani au kiutaratibu wa Kanisa husikilizwa na kutolewa uamuzi. Wakati mwingine kesi ngumu hupelekwa Roma kwa maamuzi ya juu zaidi kwani mahakama ya Roman, The Roman Tribunal ndiyo yenye uwezo wa mwisho wa kutatua mambo fulanifulani.

Lakini mahakama hizi haziingilii kazi za mahakama za kidunia na wala haziendeshwi kwa fedha za serikali kama wanavyotaka waislamu

Soma hapa:Ecclesiastical court - Wikipedia, the free encyclopedia

Jesus alizaliwa middle east.

IWEJE MAKAO MAKUU YA DINI HIYO YAWE ROMA??

KAAAZI KWELI KWELI.

DUNIA INA MAMBO HII.
 
Sio suala jipya kusikia mahakama za Kanisa hasa Kanisa Katoliki. Kila jimbo au kanda ya Kanisa ina mahakama yake na majaji pia.

Kesi zinazohusu masuala ya kiimani au kiutaratibu wa Kanisa husikilizwa na kutolewa uamuzi. Wakati mwingine kesi ngumu hupelekwa Roma kwa maamuzi ya juu zaidi kwani mahakama ya Roman, The Roman Tribunal ndiyo yenye uwezo wa mwisho wa kutatua mambo fulanifulani.

Lakini mahakama hizi haziingilii kazi za mahakama za kidunia na wala haziendeshwi kwa fedha za serikali kama wanavyotaka waislamu

Soma hapa:Ecclesiastical court - Wikipedia, the free encyclopedia
Labda za kuamua kesi za wanandoa mashoga maana italy ruksa ndoa ya jinsia moja
 
kodi yangu mimi haiwezi kuhudumia uislam wakati mimi naamini uislam sio dini halali kwangu. waanze wao kula kitimoto ndio mimi nigarimie dini yao. haram ni haram tu.
Sasa wewe unahangaika na ilo bandiko limo humu JF toka 2009 unaona kama umekuja na jipya ilo ni tawi la Bakwata.

Kanisa lipewa na serikali kila mwaka Bilioni 61.9.

Kwenye hizo pesa kuna kodi ya Waislam.
 
Back
Top Bottom