Kumbe hata Vigogo wa Serikali ya CCM wanafuatilia harakati za Tundu Lissu

Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.
Lissu haepukiki. Ni swala la muda tu.

Nondo za Lissu ni mjinga tu asiyezielewa na kuzikubali
 
Mkuu, mimi siyo mshamba hata kidogo, bali ni miongoni mwa wajanja wachache tuliopo hapa jijini Dom akiwemo na Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Mbona Mimi hata sijaona cha 'Kuvutia' hapo sana sana tu imenisaidia kujua jinsi gani ulivyo Mshamba ( Mbwiga ) na Mtu mwenye 'Sifa' za Kipuuzi.
 
Najua ulimshughulikia ipasavyo huyo demu hadi a katoa siri. Ndio walivyo ukijituma na kuwapa vitu vya uhakika na kuwsfikisha mbinguni huwa wanajisahau na kubwabwaja hovyohovyo mke wa mtu atakupa siri zote za mume wake. Cheseya the power of the D wewee

Hii ni ukweli aisee 😀 cc mama D
 
Cha ajabu ni nini? chadema ni Chama kikuu cha Upinzani nchini hivyo hata wangesimamisha Sokwe angefwatiliwa pia.

Low IQ!
Sahihi kabisa! sioni tatizo kutaka kujua adui yako anazungumza nini au anapanga nini? Hata tundu lissu mwenyewe jana alipofanya kikao cha ndani usiku alimkosoa mwanachama wao mmoja aliyekataa kupokea barua kutoka NEC,hata kama ni adui yako jipe muda kumsikiliza ili ujue unamkwepaje
 
Hivi kumbe CCM ni too special kiasi hiki,Sikutegemea..LoL

Mtapataje hizo kura za ushindi kama mnategemea wana CHADEMA pekee ndio wanasikiliza kampeni zenu.....

Mungu Wangu..Njoo okoa hiki kizazi.
 
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa kwa sababu CCM is the best part.
Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Meko wako hana uwezo wa kushinda kwa kura kwa halali. Muulize kwanini anaogopa tume huru ya uchaguzi kama ana uwezo wa kushinda kwa kura halali?. Kwanini anaengua wapinzani?.

Kwanini kwenye mikutano yake anatumia wasanii,kusomba watu, kufunga mashule ili ajaze uwanja?. Why?
 
Hivi kumbe CCM ni too special kiasi hiki,Sikutegemea..LoL

Mtapataje hizo kura za ushindi kama mnategemea wana CHADEMA pekee ndio wanasikiliza kampeni zenu.....

Mungu Wangu..Njoo okoa hiki kizazi.
Jiulize sasa, kwanini alipomuona yule dada anaikaribia meza yake aliamua kuificha ile simu?
 
Back
Top Bottom