Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

Jamaa amekuja kushitaki wabunge wetu jamvini du! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Kudadadadeki wahi kumwamisha mama Migiro UN si June mkuu utaambulia TP na tu perfume!
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

MBA-HRM Social Psychology of Organisations.Topic:Managing Stress.Pole braza
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

kuwa specific
 
unajua willy lazima ujue tulikutegemea kama mpiganaji kama ulivyotueleza tangu mwanzo unachoenda kitetea huko. sasa swala dogo kama hili unashindwa kueleza nani upinzani kala rushwa sanasana taja wa cmd maana si huku majimboni hadi tunachanga fedha zetu. alafu mmbunge ale rushwa si tutakombolewa vipi.maana kero kumbwa tuliyo nayo mpaka tuna chukia ccm ni swala la rushwa.kama wewe ni mpiganaji sema ni nani kakuomba rushwa.sio uje na maneno ya kinafiki.
 
- Well, tumeambiwa sana hapa kwamba tujiunge na timu za ushindi huko Upinzani, sasa kwenye kampeni tulikuwa tunaangalia sana kwa makini mwenendo, I mean kuna walio straight hawana muda wa ujinga wapo kama nilivyokuwa ninawaona siku zote, lakini wengine wamenisikitisha sana, hasa the idea niliyokuwa nayo zamani kwamba wote ni wasafi na ni the alternative!

Willie!
...mi huwa nakelwa sana na watu wanao-mungunya maneno au kuzunguka mbuyu...wewe cjui unaitwa nani vile,ebu tuondole mambo yako ya kitoto hapa,kama unashidwa kuwataja hao wapokea rushwa,funga mdomo wako na ukae kimya...watu tunakelwa sana na mafisadi bila kujali wako chama tawala au upinzan,sasa tumetega masiki ututajie hao manyangau uliojificha ktk vyama vya upinza,wewe tena unaanza kuzunguka zunguka...ebu tulia kwanza usije upatwa na mtikisiko wa ubungo baada ya kushindwa ubunge wa EA...
 
Jamaa amekuja kushitaki wabunge wetu jamvini du! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Kudadadadeki wahi kumwamisha mama Migiro UN si June mkuu utaambulia TP na tu perfume!

Inashangaza badala ya kwenda TAKUKURU wakamatwe yeye amekubali kuliwa pesa na ubunge kakosa anakuja JF kulia
 
Mods sitakuwa na imani na nyie kama hamtampa BAN huyu Kaka Jambazi-Willie Malechela, iweje atuletee habari bila ushaidi, kama ni hivi mmemwonea TUNTE! Chadema inaheshimika mpaka nje ya mipaka, huu uzushi unatushushia heshima tunayoijenga, piga TOTAL BAN huyu mkaka mzushi
 
Mkuu this is naive to say the least...

Mkuu upinzani ni alternative (hata kama sio wasafi) ila upinzani ukiwa strong uta-police walio madarakani.., Upinzani ukichukua nchi.., itabidi wajiangalie na kuwajibika sababu wasipofanya hivyo wenzao watachukua nchi come next five years..

Hivyo basi cancer na matatizo ya Tanzania ni nguvu ya CCM ambao wamejisahau na hakuna wanachofanya wala kuogopa kuhusu kesho.. (kwahio wewe kuimarisha hio cancer utakuwa ni kama virus inayoendelea kudhoofisha mwili)
hana lolote huyu ndo maana wakala hela zake.je wangepokea then wampe kura angesemaje.? twende jukwaa letu bwana huku kumekaa kibab ban can you imagine mtu mzima unapost ***** kama huu kwa great thinkers?
 
Umetoa salute ya kinafiki. Wewe ni sawa na chichidodo anayekichukia kinyesi lakini anakula funza wanaotokana na kinyesi.
Kweli Mkuu huyu jamaa na CHICHIDODO ni sawa sawa, wanafiki , anyway tuanajua ndugu huy kajifunza sasa
 
mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni makafiri..kwa nini ulimpa sasa? mbona hawajakuchagua le mutuz

Nyerere alisema kuwa mtoa rushwa na mpokea rushwa wote 'manzi ga nyanza' -wanakwenda na maji. Mtoa mada ame-run short of explanations kuwa yeye kama mgombea amejuaje? au alikuwa ni mtoa rushwa?.

Halafu haitoshi tu ku-generalise wapinzani, wapinzani ni group la vyama vingi atuambia je wapinzani hao ni kutoka vyama gani cha siasa?, I hope hawezi kusema hilo kwani inaonesha kuwa kwa thread hii ni kama ana 'Vent election defeat anger', kama wenzake walivyo-fanya kule Arusha mjini baada ya kushindwa Arumeru East. Matokeo yake wamejishushia heshima yao na heshima ya mahakama. I don't want to believe muanzisha thread naye yupo kwenye political 'kamikaze mission'

Jamaa nimwongo mbona hakujtoa kwenye uchaguzi baada yakugundua kuna viashilia vya rushwa?kama nikweli awataje.lkn mmi cwezi kumshangaa uyum2 kwakuwa yye nikzazi cha rushwa.
 
hana lolote huyu ndo maana wakala hela zake.je wangepokea then wampe kura angesemaje.? twende jukwaa letu bwana huku kumekaa kibab ban can you imagine mtu mzima unapost ***** kama huu kwa great thinkers?

Angekuja kuwapamba kwa mgongo wa chupa kama alivyo mpamba jembe Nasari
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

Dawa ni moja tu, Muuzie hsare zako za JF EL na mwombe msamaha lakini ni lazima uwe pamoja na wazee wako. Sasa utajua ubaya wa rushwa kwa CHADEMA na CCM Pia.
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

Utawaambia nini Kusaga na Dick Amry?
 
Jamaa amekuja kushitaki wabunge wetu jamvini du! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Kudadadadeki wahi kumwamisha mama Migiro UN si June mkuu utaambulia TP na tu perfume!

Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Acha utani huo bana,hana nauli kaliwa zote.
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

Unaweza kuanza kujuta kwa nini umeanguka kwenye kipute lakini si wakati wake. Jambo moja ambalo ni wazi limekuangusha ni kama vile wewe mwenyewe hukujipanga, ulipata muhemko mkubwa kiasi kwamba Facebook kila siku ilijaa status zako ambazo katika hali ya kawaida zilionesha wazi una njaa ya Ubunge na uliuhitaji kwa hali na mali.

Maswali ninayojiuliza ni Je nani alikupigia simu kutoka USA kuja kuchukua kiti cha Ubunge wa EA? Ilikuwa ni ridhaa yako au msukumo wa kutaka kurithi jina la baba yako Mzee Malecela ambaye sasa anatoweka kwenye medani ya Siasa? Uliwezaje katika kipindi kifupi ulichotoka USA kuweza kukutana na JK, Mbowe na viongozi wengine wakuu? Ulitegemea mbeleko yao bila mikakati ya ushindi? Ni kwa nini kila wakati uliweka wazi mbinu zako na mikutano uliyoifanya na viongozi hao? Ni kwa sababu ya muhemko huohuo na kukosa ukomavu? Lakini kubwa kuliko, ulitegemea kila wakati kucheza na status za FB ndiko kutakupa ushindi? You need to change and to become real a political figure hasa ukiyajua vema mazingira ya kisiasa yaliyoko nchini.Jipange mapema sasa.
 
ze mutuz kapumzike tu kaka,jipange upya,kama ulihonga ili uchaguliwe ni kosa kubwa mno,kumbuka niliwahi kuchangia thredi yako kabla ya uchaguzi nikaandika kuwa uwe tayari kuvuna sawasawa na matendo yako,hizi kelele hazina maana!
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

Acha kuongea vitu nusunusu,kulalamika ni hatua moja pia kuchukua hatua kwa vitendo ni hatua nyingine zaidi.Acha kulialia Kama mtoto.Kama wapo waliotoa au kupokea Rushwa na ushahidi unao basi wataje humu jamvini.Kulalamika tu hakubadili hali halisi,na Kama wewe pia ulitoa ama kupokea usiwe mnafiki funguka.
 
- Well, tumeambiwa sana hapa kwamba tujiunge na timu za ushindi huko Upinzani, sasa kwenye kampeni tulikuwa tunaangalia sana kwa makini mwenendo, I mean kuna walio straight hawana muda wa ujinga wapo kama nilivyokuwa ninawaona siku zote, lakini wengine wamenisikitisha sana, hasa the idea niliyokuwa nayo zamani kwamba wote ni wasafi na ni the alternative!

Willie!

kama ni kweli na unaamini katika haki naomba wataje. Ila kama ni stress za kushindwa then powa. Willy nchi yetu inanuka rushwa, na angalau wewe uko kwenye position nzuri ya kutueleza why tuko hapa tulipo. Siamini kama unapinga rushwa then ukaogopa japo kutaja mtu aliepokea hela yako na kukunyima kura.. Tuweke wazi. Najua unaogopa kushtakiwa. Basi uandike kisaniii sisi tuwajue. Usipotuambia then hupendi tumalize wizi ndani ya taifa hili.
 
Back
Top Bottom