Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

Kama ushindwa kupajua PCCB ni halali yako kuliwa, MTOA RUSHWA, MPOKEAJI, NA ALIESHUDIA NA KUNYAMAA WOTE NI WAHALIFU. Acha kupaka wenzio matope post ya kukubali kushindwa ilikuwa inakutosha acha kubornga zaidi utapata BP za bure.
 
Mkuu we ulichukua hatua gani ulipoona rushwa inatendeka?ni wajibu wa kila mtu kuzuia rushwa,rushwa ni adui wa haki,ungechukua hatua tungejua kuna mapungufu makubwa vinginevyo unatafuta tu kisingizio cha kushindwa kwenye kinyang'anyiro...........jibu swali,ULICHUKUA HATUA GANI?
 
Le Mutuz kaliwa pesa zake za kubeba mabox kwenye meli na wajanja wa upinzani na kura wamempiga dash, naona alikuwa na matarajio mengi kutoka upinzani wamekula hela alafu kura wamepiga panapo faa.
ahahaaa aendelee tu kuwa mgeni rasmi wa mabirthday party za maledies mjini hapa
papaa ya ngwasuma na kitimoto
 
- Nape yupo Europe hakuwepo hapa na wala hahihusu, ila ujumbe wangu ni kwa wale wanaosema tuhamie huko kwenye ushindi kwa sababu hawajui rushwa wala hawana uchafu, that is all!

Naona nimegusa pabaya! ha! ha! ha! ha! ha!

Willie!
Willy twende taratibu, huwezi kuisifia mvuwa kama haijakunyeshea, itakuwa unatenda haki kama utasema wazi wazi kwamba dau lako ulikuwa unahonga shilling ngapi ngapi na kampeni meneja wako alikuwa ni nani?

Maana nina wasi wasi huenda Agent wako alikuingiza mkenge kwamba Wabunge wa upinzani inabidi uwaonge kwa kupanda dau kumbe mwenzako leo zile pesa anapita pita kwenye vishow room vya magari, inshort umeingizwa mjini na kama uniamini sikiliza kamati ya mazishi ya Kanumba wanasema wametumia millioni 60.
Karibu sana Bongo.
 
kila siku tunakuambia ccm imeoza unakataa leo unakuja hapa na malalamiko ya kijinga kabisa,sema sisiem wananunua madaraka si wapinzani wamehongwa.
hao wabunge sisi ndio tumewaambia kuwa mkitoa hela wachukue na si wao tu hata sisi wanachama tunawasubiri kwenye chaguzi mje na hela zenu tuzilambe halafu tuwapige chini.
 
  • Thanks
Reactions: ral
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

Wame kutafuna sh.ngapi?
Naona unatafuta huruma kwa visingizio vya kitoto kabisa.
 
ukiona watu wanampinga willi na kusapoti rushwa ujue kizazi cheti kimeisha na watu kweli wanastahili haya maisha wanayoishi na viongozi walionao. rushwa ni adui wa haki regardless wewe ni chama gani wadau
 
- Kati ya yote niliyoyaona huku Dodoma kwenye Kampeni, hili limenishangaza kuliko yote; I mean niliamini kwamba huko ndiko kwenye alternative, lakini now nina mtizamo tofauti sana na Wapinzani, sio kama nilivyokuwa ninawaona zamani wengi nilikuwa ninawaheshimu sana ila wamenishangaza sana baadhi yao!

William @Dodoma City!

Hela haina allegy
 
Mimi ni mwana CDM, nitaendele kupigania mabadiliko kupitia CDM. Bado ninaamini kwa dhati CDM is the best alternative! Pamoja na hayo yote nikiri CDM ina baadhi ya viongozi ambao ni wababaishaji na corrupt. Hapa nazungumzia CDM chama changu na sitashangaa kama kuna baadhi ya wabunge wa CDM wanapokea rushwa.

Natoa rai kwa wanachadema Tanzania nzima tuwe makini sana tunapochagua viongozi katika ngazi mbalimbali vinginevyo tutaishia kuwa kama CCM siku moja. Viongozi hawa corrupt, wababaishaji, opportunists ni sisi tunawachagua na sasa wanajazana CDM wakijua fika ni tiketi rahisi kupata uongozi. Chama hakihitaji umaarufu binafsi wa mtu kushinda mahala popote, tuchague watu waadilifu, wachapakazi, commit ed hata kama sio maarufu. Umaarufu wataupata kwenye kuchapa kazi.

Rai ya pili: nina imani kubwa na uongozi wa juu CDM hususan katibu mkuu Dr W. Slaa. Ningependa kuona shoka kali zaidi likiwadondokea viongozi wababaishaji, opportunists na corrupt ndani ya CDM. If we do not send a clear message on this sasa hivi kuna hatari hapo mbeleni.
 
ahahaaa aendelee tu kuwa mgeni rasmi wa mabirthday party za maledies mjini hapa
papaa ya ngwasuma na kitimoto

Hivi bado yupo @Dodoma? Aje Mango Garden tu kurusha roho
Sasa tupesa wamemulia wapinzani kwa ahadi ya kumpigia kura na kanyimwa arudi tu baharini kubeba box.
 
Willy twende taratibu, huwezi kuisifia mvuwa kama haijakunyeshea, itakuwa unatenda haki kama utasema wazi wazi kwamba dau lako ulikuwa unahonga shilling ngapi ngapi na kampeni meneja wako alikuwa ni nani?

Maana nina wasi wasi huenda Agent wako alikuingiza mkenge kwamba Wabunge wa upinzani inabidi uwaonge kwa kupanda dau kumbe mwenzako leo zile pesa anapita pita kwenye vishow room vya magari, inshort umeingizwa mjini na kama uniamini sikiliza kamati ya mazishi ya Kanumba wanasema wametumia millioni 60.
Karibu sana Bongo.
halafu jamaa amekaa kulizwa lizwa sana huyu hata ningekuwa mimi
matola huyu aendelee tu kuimbiwa papaa kitimoto na wazee wa ngwasuma ndo furaha zake
 
wee kijana, ukiwa kweli mtu mtu safi tutajie uliowapa rushwa yako na hawakukupa kura! maana wangekuchagua leo ungewapongeza na sio lawama; sera n m4c na unakula ccm kama waliokula kwako ila unalala chadema kama walivyofanya.
pole sana mkuuuuuuuuuuuuuu
 
Hivi bado yupo @Dodoma? Aje Mango Garden tu kurusha roho
Sasa tupesa wamemulia wapinzani kwa ahadi ya kumpigia kura na kanyimwa arudi tu baharini kubeba box.
hata hakuwa baharini mbona? alipokuwa hata hawezi kurudi
 
huna lolote anataka kutugombanisha na wabunge wetu wa cdm,hawapokei rushwa kamwe!kwa wabunge wa ccm ndio ilani ya chama
 
Pesa unapokea kura unampigia mgombea sahihi, aliye honga unamnyima kura.
Hujasikia falsafa ya Upinzani kula CCM ila kura upinzani

Nakuunga mkono mkuu, km alijua ana uwezo kwa nini aonge. Ngoja walikomesha ili watu wengine wenye tabia ya kutoa rushwa wkt wa uchaguzi wajue hela au rushwa yoyote ile itachukuliwa lkn kura hamna.
 
Huyu jamaa mpuuzi kweli umekuja na complain zako ambazo direct unazielekeza chadema nikisoma kwa makini maelezo lakini hujatuambia nani walipokea rushwa sawa unaleta lawama na kipumbavu hapa na wewe kwani hukutoa rushwa hadi kuzoea kina nassari kujikomba upate kura haya maneno ya ukosaji.
Mind u sio wapinzani wote waliopokea rushwa labda kuna baadhi so usiconclude kwa wote hapa.
Toa nyama ya kutosha kwenye thread yako ndo tuchangie la sivyo thread closed
 
Back
Top Bottom