Kumbe Salama Jabir ana miguu mizuri hivi!

Kuna jamaa mmoja kama mmasai(mshobokeaji watu maarufu)ni mpiga picha maarufu kila siku yupo nae. Huyo anaweza kutoa connection.
Unamzungumzis MX acha utani mx ashobokee watu maarufu hahahsha

Mx yuko mjini kitsmbo sana na haya mastsr tangu wanavaa jinzi pana kama kitsmbs cha mashineni
 
Salama ni mrembo sana. Ukikutana nae uso kwa uso ni mschana mzuri na mrembo ajabu tena mwororooooo

Hiyo vaa yake ni ya makusudi ili aishi maisha anayoishi, yaani ndio inamtenganisha na urembo wake
Tunahitaji katiba mpya tu katunyanyasa sana vijana tusio na hatia
 
Hapana hilo ni jina la kiha, likiwa na maana ya shida sawa, hata usisumbuke kuweka tafsiri ya matusu
Nmekuelewa mkuu.. ila mimi sjaweka tafsiri ya matusi nmeeleza tu vile ukiliangalia juu kwa juu unaweza soma kama 'agongwe' ambapo kwa tafsiri ya kawaida si matusi..
 
Msoga king najua si mdogo ameupiga mwingi tu kitaa enzi zake za ushababi ila huyo mpemba sidhani
Haha mkuu acha masihara sasa unafikiri kwanini watu tumeuliza kama ni mwanaye au la? Huoni jinsi walivyofanana au ulitaka sura gani tena nyingine ya kukuonesha kuwa wamefanana?
 
Back
Top Bottom