Kumbe Google Tanzania ndo hivi ?

Ha ha ha nimeiona. Lakini tatizo sio Google. Tatizo ni akili mbofu mbofu za wabongo. Sasa hata na wewe itakuwaje unatafuta "kum.."? Hilo ni neno gani katika lugha ya Kiswahili. Yaani kum..ninhii nini au nani? Unaona sasa, imekula kwakoo!

!
!
hahahaha au angeanza na "mku..... ingemalizia mengiiiine kumbe ulitaka kuandika mkutano au mkubwa.
 
Najaribu kutafuta neno fulani ..naandika "Kum..." matokeo ninayopata ina nilazimu kuachana na google search kwa hilo neno ...naingiza "picha za ..khaa.hapo napo balaa tupu. Sijuia TACRA wanafanya ni nini hapa!!.


www.kumagames.com
Hiyo ni moja ya matokeo
 
kuna lecturer wetu alikua ameunga projector class. akawa anataka kusearch law flani. akiw ameconnect projector bado, akaunga wireless ambayo ipo free tu hapo chuo, akafungua homepage ya google, kupeleka tu cursor akaclick p... ika suggest picha za ngono, omg, alivuta waya wa projector fastaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom