Wengi hufanya hivyo ili kama imefika wakati upande mmoja kimebuma huwezi ingilia upande mwingine. Mfano kama hilo gari ni mali ya kampuni though anatumia diamond siku diamond kama diamond amefilisika au ana kesi hawawez kwenda kushika mali za hiyo kampuni au other way around.
Hebu tufanye hivi, we ndo ukanisearch mm... njoo pm nikupe biz card yangu na info kibao ili unifatilie na kunifahamu kwa undani...!!! hahahaaah, dah!
Yaani umejiunga JF hata mwezi hujamaliza na jina lako la kugoogle hilo ndo unadhani utanitisha? hahahaaah!
wenzako wote humu wanaotaka kujulikana ni akina nani na wanaishi wapi ndo maana unaona wanataito ya "VERIFIED MEMBER"! Sasa ww na ID fake yako kawasimulie wajukuu wako, ndo uwaambie wakusearch
Unavyoandika gives an indication of your IQ. Once nikielewa IQ yako iko chini sana, sina tena muda wa kubishana nawe. Typo haiwezi kuwa mara 2 kwenye sentensi 3. Hiyo siyo typo. Ni uwezo wa ubongo wako. Sitakujibu tena. Ciao...
Kawaida ya watu dhaifu wana shambulia watu, watu imara wanajadili hoja, baada ya kukimbia hoja ya mezani na kuanza kujificha kwenye neno ATA, ni ushahidi wa wazi kuwa hoja imekushinda
Ile si V12 mbona hapo mnasema V8.. pia kwakua ni mlipa kodi mzuri kuingiza kwa kutumia company inamsaidia kwenye kupunguza gharama za ushuru.. hata makanisa hufanya hivyo