Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Kila tajiri anaye saidia jamii yetu moja kwa moja au kwa namna nyingine huitwa Freemason na watu humsema vibaya kuwa ni shetani, je ni shetani gani mwenye upendo?
Taasisi zenye alama fulani fulani nazo uhusishwa na ushetani wa Freemason, mbona taasisi hizo ndizo huzunguka vijijini na kusimamia kikamilifu miradi ya maji na kuboresha maisha duni ya Mtamzania?
Hivi ni shetani gani mwema? Tusiwe wepesi wa kudanganywa na kukurupuka kuongea.