Kumbe Freemason ina faida kubwa sana kwa nchi yetu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Kila tajiri anaye saidia jamii yetu moja kwa moja au kwa namna nyingine huitwa Freemason na watu humsema vibaya kuwa ni shetani, je ni shetani gani mwenye upendo?

Taasisi zenye alama fulani fulani nazo uhusishwa na ushetani wa Freemason, mbona taasisi hizo ndizo huzunguka vijijini na kusimamia kikamilifu miradi ya maji na kuboresha maisha duni ya Mtamzania?

Hivi ni shetani gani mwema? Tusiwe wepesi wa kudanganywa na kukurupuka kuongea.
 
Huu ni Ujinga unaongea, kapime akili, Mbona Marekani wanaenda vitani na kusaidia vita uarabuni na kutuma misaada ila shida Yao ni mafuta, hawajali watu kufa wala nini? Sema Vitu vyenye mashiko, a devil can give you anything for your soul, use your brain and let your brain cells move!
 
Kila tajiri anaye saidia jamii yetu moja kwa moja au kwa namna nyingine huitwa Freemason na watu humsema vibaya kuwa ni shetani, je ni shetani gani mwenye upendo?
Taasisi zenye alama fulani fulani nazo uhusishwa na ushetani wa Freemason, mbona taasisi hizo ndizo huzunguka vijijini na kusimamia kikamilifu miradi ya maji na kuboresha maisha duni ya Mtamzania?
Hivi ni shetani gani mwema? Tusiwe wepesi wa kudanganywa na kukurupuka kuongea.

Msikiti/Hekalu ni wapi hapa Dar nikajiunge.....Nipe taratibu za kujiunga
 
Kila tajiri anaye saidia jamii yetu moja kwa moja au kwa namna nyingine huitwa Freemason na watu humsema vibaya kuwa ni shetani, je ni shetani gani mwenye upendo?Taasisi zenye alama fulani fulani nazo uhusishwa na ushetani wa Freemason, mbona taasisi hizo ndizo huzunguka vijijini na kusimamia kikamilifu miradi ya maji na kuboresha maisha duni ya Mtamzania?Hivi ni shetani gani mwema? Tusiwe wepesi wa kudanganywa na kukurupuka kuongea.
Hata Devi mkameruni watu walimwelewa vibaya tu. Alikuwa na nia njema ya kusaidia miradi.
 
Kila tajiri anaye saidia jamii yetu moja kwa moja au kwa namna nyingine huitwa Freemason na watu humsema vibaya kuwa ni shetani, je ni shetani gani mwenye upendo?
Taasisi zenye alama fulani fulani nazo uhusishwa na ushetani wa Freemason, mbona taasisi hizo ndizo huzunguka vijijini na kusimamia kikamilifu miradi ya maji na kuboresha maisha duni ya Mtamzania?
Hivi ni shetani gani mwema? Tusiwe wepesi wa kudanganywa na kukurupuka kuongea.
no freelunch under the sun. sera yao kubwa ni kutoa misaada....
 
Jamaa miradi yao wanakamilisha kwa umakini sana ha hha hhahaha pana dispensary hapa Mikocheni B, kizuri sana, wametia mkono wao na picha lao kwenye jiwe la msingi:high5:
 
Bujibuji aka umofia from london pitia vitabu vya dini vzuri,shetan udanganya kupitia humo humo kwenye misaada au umesahua james cameroon oh sorry david cameroon nilmkoti Rejao vibaya.
 
Last edited by a moderator:
mnataka kutuaminisha kuwa kila mwenye vimaendeleo ni freemason? kama ndio hivyo na wale wasio na maendeleo kwa uzembe wao ni kina nani?

tunaelewa kweli nini maana ya fremanson? mfano baadhi ya raia wanasema mwanamuziki Jay Z ni freemanson ndio maana ana mafanikio makubwa. kwa nini asipate mafanikio kama kazi zake zinakubalika na jamii? sisi tuendelee kukaa vijiweni fainali uzeeeni.
 
hiyo yote uloongea ni kweli ila em jaribu kufanya utafiti kwanza kwani hata adui anaweza kukupa kitu kizuri kwa lengo la kukukamata kwa urahisi na ndio wafanyavyo hao ma freemasons na kuwepo kwao kuna videos nyingi tumeziona zikionyesha project zaooooo!!!!!
 
yan hata 2 kiongea vp ki2 kikopale pale coz wana sema wenyewe utaweza kuwa kwepa as we see nao all over world wapo araund 2 na vile vile ni ngumu kuwafahamu wote coz hawa jitambulishi ovyo dat y mtabaki ku mpoint m2 mwenye mafanikio yake kuwa naye ni mason
but ndo ivyo iyo chama ni kubwa xana.
 
sasa tumechoka na hizi ngojera zenu yaani siku hizi kila kitu freemanson.
 
Msikiti/Hekalu ni wapi hapa Dar nikajiunge.....Nipe taratibu za kujiunga
Namna ya kujiunga unatakiwa uwe na line ya Tigo na iwe na balance inayozidi shilling 10,000/= halafu bonyeza namba hizi hapa *101*0655102580*10000# OK. utajibiwa haraka.
 
Ni kama kuku kula mtama kumbe unataka kumkamata kwa kitowewo

Ni kweli kabisa tunatakiwa tuwe na tahadhari na kumtegemea sana Mungu ndio tutajua Magugu ni yapi na ngano ni Zipi.Kwani hata shetani anatumia mambo mazuri sana kuwapata wateja.Angetumia mauaji/kafara moja kwa moja asingepata wateja hahika.Zamani watu walikuwa wanavaa hirizi live lakini sasa ni cheni au pete tena ya garama lakini ndani yake imenuiwa ushetani.Mungu ametupa uzima na mauti tuchague wenyewe.Tafakari Kwa kupambanua Magugu na ngano.
 
Back
Top Bottom