Kumbe Dr. Slaa Angejiapisha tu

Kumbe Dr. Slaa Angejiapisha tu

kuapishwa simbali toka sasa.umma utamapisha dec.2015 .ataapa na dunia itashuhudia kama ilivyotokea kwa edward shivrinade ulivyo iba kura ktk uchaguzi wa georgia.yeye kamaamua kukaa kimya kwa ajili ya ya faida ya taifa.tutamapisha tu.nguvu ya umma haitashindwa na jeshi wala polisi najeshi la kukodi la ulya au marekani.tusubiri
 
Dr Slaa aliapa kutofanya fujo, anatumia kanuni hii (PhD) ya ukweli + Nguvu ya umma = ...

Slaa hana lolote bana, hana uzoefu na uongozi wa nchi yeye level yake ni ya ubunge na uongozi wa dini tu, sio Urais aisee !
 
Back
Top Bottom