Kumbe Dar matapeli wengi?

Kumbe Dar matapeli wengi?

Majhura fikiri

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
121
Reaction score
13
Wakubwa shikamoo age mate mambo vipi? Mimi nilikua natafuta nafasi ya kujiunga na jeshi. Nilibahatika kuipata lakini kuingilia ilikua dar na mimi nyumbani ilikua kigoma ilinilazimu kupanda gari mpaka dar. Nilipofika dar nikamwambia nishafika dar njoo unipokee wala hakuja kunipokea kwakua sikua na pesa ya kulala geust ilinibidi ni lale ubungo siku tatu. Ilipofika siku ya nne ikabidi ni mwambie baba akasema panda gari uende morogoro ukakae kwanza kwa ndugu yako tusikilizie mipango aisee nimekoma!
 
Ni sawa nakuuliza hivi polisi kuna wezi wengi maake ndo mahala pake?
Dar ndo jiji mkoa wenye wakazi wengi Tanzania kwa hiyo tegemea
kila mambo mengi ndo inaongoza matajiri wakubwa wapo dar
wasomi wakubwa wapo hapo, Rais yupo hapo, na vikorokoro kibao
 
...bado hujaonyesha huo utapeli, nnachokiona ni mwenyeji wako hajaja kukupokea baas....
 
Alikua sio mwenyeji bali alikua mkufunzi wa jeshi! Pesa ashapewa lakini kila nikimpgia simu nipo hapa stendi anasema mala niko mtwara, mara niko nasafisha bunduki ndo mazima npaka leo!
 
Alikua sio mwenyeji bali alikua mkufunzi wa jeshi! Pesa ashapewa lakini kila nikimpgia simu nipo hapa stendi anasema mala niko mtwara, mara niko nasafisha bunduki ndo mazima npaka leo!

Pole sana
 
Jeshi kila mara linatoa tahadhari juu ya mataperi na kuwasisitizia watu kuwa taarifa za mafunzo nk. Zinatangazwa rasmi na jeshi kupita vyombo vya habari na tovuti ya jeshi wewe unaunganishiwa na mtu:what:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom